Namtafuta.....

Namtafuta.....

kumbe uyu mdigo mkuu!:noidea::noidea::noidea:

Hahaha mimi49 ni Mdigo kabisaaaa....ila mara nyingi Wadigo wakiendelea kidogo wanaanza kujiita Wasambaa...
 
Last edited by a moderator:
orait mimi49 kwani kuwa mdigo dhambi? nasikia wapo hadi mombasa.....mojawapo yale makabila tisa sijui wamikindani wanajiita? watu8 ni mtani wako?

Mpwa huyu mimi49 ni wale Wadigo wa Lamu na Mombasa, huwa wanaijiita Wagunya.

Mpwa ukitaka tafuta binti mrembo mrembo hebu usisite kutupia macho kwenye hii kabila...teh teh

Halafu na yale mambo yetu yale...wanayajua sana hawa...
 
Last edited by a moderator:
Mpwa huyu mimi49 ni wale Wadigo wa Lamu na Mombasa, huwa wanaijiita Wagunya.

Mpwa ukitaka tafuta binti mrembo mrembo hebu usisite kutupia macho kwenye hii kabila...teh teh

Halafu na yale mambo yetu yale...wanayajua sana hawa...
Haaa wewe huna hata msalie mtume!
 
Haaa wewe huna hata msalie mtume!

Hahahah....usijali mpendwa lol

Halijui kuchuja...Nitakuweka chujio au chekecheo la mdomo!

ntaanza na wa kwako kwanza....

faces_p207.jpg
 
Homeboy hapa uko kikazi au shughuli binafsi? Sikumbuki kama chama kilikuagiza hii makitu.

Unapokuwa mwenyekiti lazima uwe mbunifu kuzisaka fursa, la sivyo chama kinakufia mkononi hommie! wacha kabisa
 
Mpwa huyu mimi49 ni wale Wadigo wa Lamu na Mombasa, huwa wanaijiita Wagunya.

Mpwa ukitaka tafuta binti mrembo mrembo hebu usisite kutupia macho kwenye hii kabila...teh teh

Halafu na yale mambo yetu yale...wanayajua sana hawa...

Mkuu watu8 nazingatia sana like aliyokupa mimi49 kwen hii uziful post, sanjari na taarifa za kiintelijensia ulizonipa....

Apo juu nilimaanisha "wamijikenda" something like that
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom