Namtafuta.....

Namtafuta.....

Ha ha ha!!! unajua nimeishi nao sana...wengi walikuwa ndugu zangu na marafiki zangu....kuna wakti nilikua naishi Raskazone (Tanga) kukawa na family friend wenye asili ya ushombe...maashallah sasa hao mabinti lol walikuwa hatari tupu mwenyewe nilikua naishia kuwaita wachumba tu!!!
Kwahio unafikiria mie wa raskazone au?
 
Ha ha ha!!! unajua nimeishi nao sana...wengi walikuwa ndugu zangu na marafiki zangu....kuna wakti nilikua naishi Raskazone (Tanga) kukawa na family friend wenye asili ya ushombe...maashallah sasa hao mabinti lol walikuwa hatari tupu mwenyewe nilikua naishia kuwaita wachumba tu!!!

Tanga wapi? Sio pangani lakini
 
eboh!!...nimeganda kwani mmenitia jokofuni

We hujaelewa tu farkhina kwanini ameganda pande hizi ha ha ha halooooooo.....:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom