ozonolysis
Member
- Jan 23, 2013
- 14
- 21
Jamani hivi Amkatrina,Mbwiga88,Arushaone,Ismail N. juma wako wapi jamani nimewamic kwa kweli

UmewaPM hawakujibu........?
ndio nimewaPM
Jamani hivi Amkatrina,Mbwiga88,Arushaone,Ismail N. juma wako wapi jamani nimewamic kwa kweli
Arushaone tuko naye jamvini deile, Ismail N. Juma yuko kwenye huba zito la mahabuba ya ban. Wengine sina taarifa zao
Mh! Msuto unanukia.