Mas The Great
Senior Member
- Dec 27, 2011
- 150
- 64
Mafwele Makubi alinifundisha shule ya Sekondari Geita mwaka 2004. kisha alihamia Magu. tangu hapo sijawahi kumuona mpaka leo. nimejikuta nina shida naye kubwa sana. yeyote anayeweza kunisaidia mawasiliano yake au kumjulisha amwambie anatafutwa.