Namtafuta Mwalimu Rukia Ngadala

Tiba

JF-Expert Member
Jul 15, 2008
4,596
2,000
Wadau wa JF,

Naomba yeyote anayefahamu Mwalimu Rukia Ngadala anaweza kupatikana vipi ani PM na kunielekeza jinsi ya kumpata au hata kunipatia namba yake. Nina habari za manufaa kwake lakini nimeshindwa jinsi ya kumpata. Mara ya mwisho kuwasiliana naye alikuwa anafundisha Kibasila Secondary kabla ya kuhamia Tanga. Kwa sasa sijui huko Tanga anafundisha shule gani.

Natanguliza shukrani.

Tiba
 
dundula

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
539
0

Tiba[/QUOTE we ni nani?
 
Mimi ni mtu niliye na taarifa muhimu kumhusu huyu Mwalimu na ningependa kumfikishia hii taarifa. Mimi ni raia mwema tu.

Tiba
 
Chungurumbira

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,170
1,195
Mkuu sikufanikiwa kuiona hiyo website ya Wizara ya Elimu. Hivi kweli wana Website?

Tiba

Hizi wizara ni kama viini macho katika utendaji wao wa kazi na ndo maana huwa wanakula pesa za mishahara hata kama wafanyakazi wao walishastaafu muda!! ni vigumu kuupata labda kama una ndugu pale tanga anaweza enda halmashauri au chama cha walimu watajua yuko wapi kwa sasa!!
 
Tiba

JF-Expert Member
Jul 15, 2008
4,596
2,000
Hizi wizara ni kama viini macho katika utendaji wao wa kazi na ndo maana huwa wanakula pesa za mishahara hata kama wafanyakazi wao walishastaafu muda!! ni vigumu kuupata labda kama una ndugu pale tanga anaweza enda halmashauri au chama cha walimu watajua yuko wapi kwa sasa!!

Asante kwa ushauri ndugu yangu, nitajaribu kufanya hivyo endapo sitapata ufumbuzi kupitia hapa JF.

Tiba
 
Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,535
2,000
Duh, huyu mama Mwalimu sijui kama anajua kuwa kuna internet manake nimesearch jina lake google sijapata lolote!!!!
 
Tiba

JF-Expert Member
Jul 15, 2008
4,596
2,000
Duh, huyu mama Mwalimu sijui kama anajua kuwa kuna internet manake nimesearch jina lake google sijapata lolote!!!!

Mkuu mimi nimekutangulia kufanya hivyo, jina lake halipo popote, nafikiri mambo ya internet yanampitia kushoto.

Tiba
 
Tiba

JF-Expert Member
Jul 15, 2008
4,596
2,000
ungepita kibasila hapo ndio ungeweza kupata taarifa...

Mkuu Kabanga,

Nilipita Kibasika lakini ama hawajui kama yupo shule huko Tanga au walifanya makusudi ya kutoniambia. Lakini hiyo taarifa kwamba kwa sasa anafundisha shule moja mkoani Tanga niliipata hapo Kibasila.

Tiba
 
Tiba

JF-Expert Member
Jul 15, 2008
4,596
2,000
www.moec.go.tz ila sidhani kama utapata,

Mkuu asante, nimepita huko hakuna kitu. Hakuna mahali kuna majina ya walimu. Nafikiri hizo ni data ambazo watu wa ndani tu wanaruhusiwa kuziona sio sisi outsiders.

Tiba
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom