Jaman kama kichwa kinavyoieleza. Namtafuta mwalimu mtefu mara ya mwisho nmeachana naye 2010 mwez january yeye alikuwa anafundisha meta sec school pale mbeya somo la history.
Naomba kwa yeyote anayejua alipo au mwenye mawasiliano yake naomba anijuze.
Ahsanten nawatakien mabadiliko mema

Jamani kama kichwa kinavyoieleza.
Namtafuta mwalimu mtefu mara ya mwisho nmeachana naye 2010 mwezi January yeye alikuwa anafundisha Meta sec school pale Mbeya somo la history.
Naomba kwa yeyote anayejua alipo au mwenye mawasiliano yake naomba anijuze.
Asanteni nawatakieni mabadiliko mema.
Nawakumbuka sana walimu wa meta enzi hizo,mtefu,kabuje(mwl wa hostel),job,mwigune,kimatare(ndege John,Mwakyulu(gari moshi),Mwahuti(kibaki)..boyfriend (huyu alikuwa mwl wa physical geography),katamba,babu wa GS,(ha ha ha stand up u foolish woman,.....enz ya kina njegite badae bukuku na yule head girl wetu wa kinyarwanda.
Umenikumbusha mbali sana unamwita 'mzee miwani' gari moshi.
Mbona hujamtaja john Mageta?
Acha uongo Mwl Landi yupo ila Mtefu amefariki
Tumia lugja nzuri, sema si kweli, sio acha uongo. Watoto ninyi vipi? Jama una taarifa zingine toa
Mbona hujamtaja john Mageta?
Ha ha mageta nilimsahau kabisa aisee,huyu mwakyulu nadhan alikuwa anafundisha Economics sie tulikuwa tunamwita gari moshi sababu ya kuvuta sigara kila wakati,hivi mageta c ndio walikuwa wanamwita chimpanzee?? Alikuwa ni Academic master au nimesqhau?