R_Breazy
Member
- Aug 28, 2025
- 32
- 54
Wakuu habari za wakati huu
Kuna member fulani tulifahamiana kupitia JF, Bahati mbaya Mimi ndo niliweka namba yangu kwenye moja ya thread ya member wa humu JF aliyowahi kupost...
Wasifu wake yeye ni daktari (kulingana na ukaribu na maelezo tuliyowahi kushare kipindi tunawasiliana) tulishauriana mengi sana, kuongezea aliwahi kuniambia kuwa ana dada kama si ndugu anafanya au ashawahi Fanya kazi shirika Fulani(Foreign organization-kama skosei kigoma) mhusika ni mtu wa Mara. Najaribu kueleza baadhi ya details ili aweze kunikumbuka pale atakapoona thread hii, details nyingine ni confidential sana.
Kwa sasa nipo mwanza ni mwanafunzi SAUT, malimbe
Namba tulikuwa tunawasiliana awali inaishia 0767******91
Bro ukiiona hii thread tuwasiliane kupitia
0769442907
Natanguliza shukrani