Namtafuta Mama Big

Mwenzenu Babu Roya na mwenzake Nyani Ngabu wanaongea kingeredha kigumu...........mi hata siwaelewi kabisa

Nway.........
 
We mangi nakuangalia tu kumbe huwezi kustahmili...haya sema kwa nini unanitafuta umeshapata copy na umeshanusa?

Here we Go!

Tueleze ulimfanza nini The Finest mpaka akakonda kwa hizi siku mbili tu?
 
Mwenzenu Babu Roya na mwenzake Nyani Ngabu wanaongea kingeredha kigumu...........mi hata siwaelewi kabisa

Nway.........

Hao akili zao wanazijua wenyewe. Manake walianza na kuku wa mayai, wakahamia kwenye majogoo kisha wakaingia kwenye supu....sasa wako na Diana....LOLZ
 
Hapo taratibu taratibu naweza kukufikiria kuurudisha undugu wetu.

Undugu umefuta na RITA bana....na hakuna dabo rejistreshen....umebaki ule wa adamu na hawa...
Mwenzenu Babu Roya na mwenzake Nyani Ngabu wanaongea kingeredha kigumu...........mi hata siwaelewi kabisa

Nway.........

Huelewi kuhusu jogoo?? Babu hajakufunza kupika supu ya jogoo? Am willing to volunteer..
We mangi nakuangalia tu kumbe huwezi kustahmili...haya sema kwa nini unanitafuta umeshapata copy na umeshanusa?

The Finest ameishia kabisa sasa...
Hao akili zao wanazijua wenyewe. Manake walianza na kuku wa mayai, wakahamia kwenye majogoo kisha wakaingia kwenye supu....sasa wako na Diana....LOLZ

Najitolea kumfundisha mjukuu wako mapishi ya supu ya jogoo...
 
Hahahahaaaaaaaaaa......... Mama Big kwani ndo tayari ushawekwa kinyumba? Mbona uji nawe watafutwa huku ka jasho la kuku?

Hebu njoo kuna ntu anataka kuludicha loho kwa kukukocha chamaki nchanga wake!!
si unajua tena nahakikisha naondoka na ujuzi wa huku nijue jinsi ya kuandaa samaki nchanga na jinsi ya kutibu viuno
 
Undugu umefuta na RITA bana....na hakuna dabo rejistreshen....umebaki ule wa adamu na hawa...

Huelewi kuhusu jogoo?? Babu hajakufunza kupika supu ya jogoo? Am willing to volunteer..

The Finest ameishia kabisa sasa...

Najitolea kumfundisha mjukuu wako mapishi ya supu ya jogoo...

Ulishawahi mapishi yake hasa ya supu ya kuku? Niulize babu yake nikusimulie.
 
undugu umefuta na rita bana....na hakuna dabo rejistreshen....umebaki ule wa adamu na hawa...

huelewi kuhusu jogoo?? Babu hajakufunza kupika supu ya jogoo? Am willing to volunteer..

the finest ameishia kabisa sasa...

najitolea kumfundisha mjukuu wako mapishi ya supu ya jogoo...

noted hatua za kisheria juu yako zitafuata
 
Ulishawahi mapishi yake hasa ya supu ya kuku? Niulize babu yake nikusimulie.
Daaah babu naomba miwani yako....................... hapa nataka nisome katikati ya herufi kabisa si ya mistari. ... mapishi ya supu ya kuku...mapishi ya supu ya kuku.....:thinking::A S confused::A S 39:
 
Umemwelewa eh...karuhusu nije kuonja supu ya kuku....i mean mapishi ya supu ya kuku...
:doh::doh::doh: Lakini akidharauliwa huwa mbele anakuja kusababisha watu waone kuwa yeye ni tishio

Uzuri digidigi hawana ushirikiano....:israel::israel:
We babu jirani sasa unamwonea babu yangu........ tangu lini supu ikahitahi meno? ye anakunywa supu tu nyama zote anaweka pembeni lol

Hivi kweli hujui ladha ya supu ni mifupa?
Bia ndo inanyweka bila meno bana...:A S-baby::A S-baby:
 
naona hapa kuna madereva tax na digidigi tu!

Kila nikisoma, naona haya maneno yanajirudia:

1) majogoo
2) mama Big
3) Bigirita
4) digidigi
5) Mjukuu
6) ugoro
7) kunusishwa
8) babu (wababu)
 
Back
Top Bottom