Namtafuta Mama Big

HA HA HA HA HA HA HA HA Babu leo, hivi mjukuu juzi alienda kukusemea kwa bibi au aliamua kukufichia siri

Aseme saa ngapi wakati babu alimtetea bibi asimzabue vibao? Tabia gani ya kuchelewa kurudi kajukuu kagori, wakati bibi kashajipigia mahesabu ya mahari.....
 
Ukiona mwenzie anakula, basi jua ni kizuri hicho....na definishen ya undugu naikokotoa toka enzi za adam na hawa....
Hahah Eti tangia Adam na Eva

Unasahau Mama Big alisema usisubiri kukaribishwa wala kuambiwa haya chukua mie nshashiba?? Alisema kama The Finest anakula upande huu nawe anza upande wako ila usimguse mkono lol
 
Ah....kumbe...issue hapa ni kushare............ orait orait sasa nimekupata.

Sasa Babu nshakukata kucha sana, nshakutengenezea ugoro kwa sana........naomba idhini yako nikamuatendi na Babu Teamo, Kaizer, The Finest au Babu Acid sasa. Si ni ndugu zako??

Na ninaomba muongozo hapa Babu Roya sio ndugu yetu?? .....kwa hiyo yeye nisimwiite Babu si ndio?.......au Babu jirani.

Kawakate kajukuu. Lakini za mikononi tu.

Roya si ndugu yetu, usimwite babu. We mwamkie tu shkang....yatosha. Ana tabia za Babu mfungwa Seya huyo.
 
Hahah Eti tangia Adam na Eva

Unasahau Mama Big alisema usisubiri kukaribishwa wala kuambiwa haya chukua mie nshashiba?? Alisema kama The Finest anakula upande huu nawe anza upande wako ila usimguse mkono lol

hahahaha! Inaelekea somo la Mama Big lilikuingia sana. Mama Big akili zake anazijua mwenyewe lol
 
Laiti ungeona alivokuwa ananikonyeza..... Niliogopa kunusishwa bana, umri ushaenda huu. Tatizo mjukuu ulikuwepo, na ulivokuwa kambea habari zingefika kwa bibiyo. Na adhabu za bibiyo si wazijua lakini?

Hahahahaahhaahha usinambie Babu ulikuwa waogopa mikonyezo lol.......... hali ile alikuwa anakunywa kilimanjaro butu angekunywa therengeti au ile ya Roya ingekuwaje?....Si ungehamia dancing floor hadi aondoke? Kama nakuona babu yangu lol

Halafu upande aliokuwa amekaa babu walikuwa wanatizamana uso kwa uso sasa babu yako kila wakati alikuwa anaagalia chini ya meza, Mama Big akaniambia hivi sasa huyu babu ndio staili yake au ndio kumuonea haya mjukuu asije maana babu alikuwa muoga sijui alijua kuwa mjukuu ataenda kumwambia bibi

Hahahaha Babu The Finest...mi nlikuwa nadhani ni mapozi tu mbele ya Mam Big..... Babu Bwana.mi nawasiwasi na fiziotherapist wa kiuno chake lol.
 
Hahahahaahhaahha usinambie Babu ulikuwa waogopa mikonyezo lol.......... hali ile alikuwa anakunywa kilimanjaro butu angekunywa therengeti au ile ya Roya ingekuwaje?....Si ungehamia dancing floor hadi aondoke? Kama nakuona babu yangu lol

Hahahaha Babu The Finest...mi nlikuwa nadhani ni mapozi tu mbele ya Mam Big..... Babu Bwana.mi nawasiwasi na fiziotherapist wa kiuno chake lol.

Hahaha! Si useme tu ningetengua kiuno kwenye dancing floor lol!Mnamzungusha babu na staili zenu za ujana, mnataka aanguke mbele za watoto?
 
Well....utamu aujua mlaji....whats your opinion...

Nichinjie basi jogoo mmoja halafu ntaenda pale sokoni ninunue kuku wa mayai nimpelekee Diana anipikie supu halafu ndo uniulize "opinion" yangu.....au vipi?
 
Hahaha! Si useme tu ningetengua kiuno kwenye dancing floor lol!Mnamzungusha babu na staili zenu za ujana, mnataka aanguke mbele za watoto?
hahah Askofu alisema ulikuwa unafanyia mazoezi ya.. kwenye kiti cha ofc...............lol sasa kwa Mama Big hutakivunja tu utakiacha hapo hapo mtakapokuwa.
 
Nichinjie basi jogoo mmoja halafu ntaenda pale sokoni ninunue kuku wa mayai nimpelekee Diana anipikie supu halafu ndo uniulize "opinion" yangu.....au vipi?

Orait....nitakuletea umpelekee Diana akuchinjie.....
BTW: Diana ndo alikuzuia kufika jj?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom