Namtafuta Mama Big

naona hapa kuna madereva tax na digidigi tu!

Kila nikisoma, naona haya maneno yanajirudia:

1) majogoo
2) mama Big
3) Bigirita
4) digidigi
5) Mjukuu
6) ugoro
7) kunusishwa
8) babu (wababu)

Kwani sredi inasemaje...
 
naona hapa kuna madereva tax na digidigi tu!

Kila nikisoma, naona haya maneno yanajirudia:

1) majogoo
2) mama Big
3) Bigirita
4) digidigi
5) Mjukuu
6) ugoro
7) kunusishwa
8) babu (wababu)

Utanisaidia kuwaambia trafki wanisaidie kuongoza msafara nikiwa naenda kumpokea Mama Big airport
 
Hivi Bado huyu mama anatafutwa tu??? ...........ina maana wengine hamtuoni? amah??
Afu MJ1 ulipotea sana. habari ya cku nyingi. Tatizo huyu Mama Big anajipigia debe sana niakjua ni mtaalamu wa kupunguza maumivu. Nilikuwa na stress za uachaguzi kumbe naye vuvuzela tu. Debe tupu tu huyu. Haya lete khbari
 
Mie mbona nilikuwa nakusubiri MJ1 ......... au hukuniona :happy:
Afu ujue ugomvi unaanzaga hivhiv. Asee tutagombana oooooooooooh MJ1 ucmjali huyo nataka kudandia treni kwa mbele!
 
Umemkosa MK ....... :bowl: mie MJ1 kaomba nimsaidie nanihii sasa kama wewe ulikuwa na mihado nae ........atasema mwenyewe :smile:
 
Haya tumsubiri tuone. Mi Mama Big nshajua debe shinda haliachi kutika! Isipokuwa mimi ntakubali matokeo.
 
Afu MJ1 ulipotea sana. habari ya cku nyingi. Tatizo huyu Mama Big anajipigia debe sana niakjua ni mtaalamu wa kupunguza maumivu. Nilikuwa na stress za uachaguzi kumbe naye vuvuzela tu. Debe tupu tu huyu. Haya lete khbari

Hahahah we first choice yako ni Mama Big sasa for the second choice subir kwanza tumalize kuwapa nafasi wale waliyoifanya second choice ya kwanza....................... nfasi zikibaki utapewa uopt

Mie mbona nilikuwa nakusubiri MJ1 ......... au hukuniona :happy:
GFM.............subiri selection inaendelea................kwa walioselect second selection lol

Afu ujue ugomvi unaanzaga hivhiv. Asee tutagombana oooooooooooh MJ1 ucmjali huyo nataka kudandia treni kwa mbele!

Hahahaha.......ngoja nikonsulti mjani .................hope babu zangu hawajaona lol
Umemkosa MK ....... :bowl: mie MJ1 kaomba nimsaidie nanihii sasa kama wewe ulikuwa na mihado nae ........atasema mwenyewe :smile:
Apo chacha.........Kaona Mama Kubwa mashine anataka kutuonea sie
 
Haya bana lakini nna bidii sijachoka. Mi nakuapia mama big simtaki tena vuvuzela tu yule. Welcome home my dear! yaani karibu mpaka chumbani nalalga mwenyewe wa pili chupa ya valuer
 
Ah Eeka Mangi usinfanye nkafuta nia kwa Roya (ingawa sijaitangaza) nkatangaza kwako maana bila Valuer nami pia sijalala lol.......poor me am addicted

Hivi mmenionea wapi Babu yangu chipirini maana mama Big alikwenda mfanyia masaji ya kiuno..........................sijui kapona??
 
mi bana nahama bar. hapa wamenambia wanafunga. sijui baa gani wataniruhusu nikae na mdoli wangu toptop niongee na wewe. Nachukua valuer yangu naenda nayo ama unasemaje MJ1. la kucha mae!
 
La Kucha wawae...........lol Nlikile wana ne mkekucho!!
 
Hahahah we first choice yako ni Mama Big sasa for the second choice subir kwanza tumalize kuwapa nafasi wale waliyoifanya second choice ya kwanza....................... nfasi zikibaki utapewa uopt

GFM.............subiri selection inaendelea................kwa walioselect second selection lol

Hahahaha.......ngoja nikonsulti mjani .................hope babu zangu hawajaona lol

Apo chacha.........Kaona Mama Kubwa mashine anataka kutuonea sie

Si mpaka uumpe ruhusa/nafasi .......... u can make what u want to be ....:happy::wink1: ............ afu hii
avatar yako ndio nini tena ............ au ndo huyu mangi keshachakachua ...... mie kidogo nkupotee !!
 
Avatar lol...........nataka nipotezee mazima
 
Back
Top Bottom