Mateja M.G Yango
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 613
- 1,097
Alisoma maua seminary.....then akaja mzumbe na chuo amemaliza UDSM LLB 2011. Kwao gombo la mboto na mwaka huu mwezi wa 3 alifiwa na mama yake mzazi.
Kumbe jamaa alifiwa na mama yake, sikulijua hilo.
R.I.P Mama Jose.