Namtafuta Joseph Nicas Lukoa

Namtafuta Joseph Nicas Lukoa

kwa nini usiwaulize watu uliosoma nao? humu hatuwezi kukupa mawasiliano yake maana wewe mwenyewe hatujui una nia gani nae. Tumie utaratibu mwingine kumtafuta usituchoshe
Kuja kwangu uku sina means nyingine. Pole kwa kukuchosha.
 
Wapendwa habarini,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba kwa anayemjua anipatie namba yake pm.

Tafadhali sana.

Asanteni
Ulivyo mkataa baada kukosa kazi ulidhani ana ugomvi na Mungu, mwenzio kaishapata ya maana na tayari kaisha oa na ana mtoto.

Sina uhakika km atakukubalia kuwa atamchepuko maana jamaa anapenda mkewe balaa.
 
Hahaaa ungejua . aya bwana asante kwa ushauri wako.
 
Tulikuwa faculty tofauti afu nilipoteza simu ndiyo maana.
kama upo dar ,jumamosi hii njoo mlimani city kuanzia mida ya saa nne asubuhi, utakutana na mtu mmoja mliyesoma naye chuo .
 
Hicho chuo ulichosoma ina maana huna connection na mwanachuo yeyote mwenye kumfahamu unayemtafuta?
 
fanya hivi mkuu eleza umesoma nae chuo gani
ni mwenyeji wa wapi ni rahisi kusaidiwa ukijieleza hivo kuliko hivo kifupi
 
Nilikuwa nao ila sasa simu ilipotea na si watu wa kuwasiliana mara kwa mara sasa ndiyo shida nayopata sina namba zao tena.
 
fanya hivi mkuu eleza umesoma nae chuo gani
ni mwenyeji wa wapi ni rahisi kusaidiwa ukijieleza hivo kuliko hivo kifupi
Alisoma maua seminary.....then akaja mzumbe na chuo amemaliza UDSM LLB 2011. Kwao gombo la mboto na mwaka huu mwezi wa 3 alifiwa na mama yake mzazi.
 
oh hilo nakushauri edit pale juu kwenye post yako weka haya maelezo yake binafsi utampata hata ndugu katika huo ukoo
 
Alisoma maua seminary.....then akaja mzumbe na chuo amemaliza UDSM LLB 2011. Kwao gombo la mboto na mwaka huu mwezi wa 3 alifiwa na mama yake mzazi.

Ningekuwa wewe, ningeandika mimi Kidawa,binti Cherehani,ninamtafuta Joseph Nicas Lukoa, kabila lake say ni Mnyalu, wajihi wake ukoje,mara ya mwisho mlikutana wapi na ni kwanini unamtafuta! Na kurahisisha utapatikanaji wake unatangaza na dau kabisa kwa atakayetoa taarifa za kuweza kupatikana kwake!
 
Rafiki yangu wa chuo. Sina jinsi ya kumtafuta nimeona nimlete hapa kama kuna mtu anamjua anipatie namba yake.

nenda kule kunako itwa sijui fasebuuku huto chukua zaidi ya dk 6 bila kumnasa
 
Ningekuwa wewe, ningeandika mimi Kidawa,binti Cherehani,ninamtafuta Joseph Nicas Lukoa, kabila lake say ni Mnyalu, wajihi wake ukoje,mara ya mwisho mlikutana wapi na ni kwanini unamtafuta! Na kurahisisha utapatikanaji wake unatangaza na dau kabisa kwa atakayetoa taarifa za kuweza kupatikana kwake!
Hahaaaa Loh ....
 
Back
Top Bottom