Namtafuta Joseph Nicas Lukoa

Namtafuta Joseph Nicas Lukoa

Wapendwa habarini,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba kwa anayemjua anipatie namba yake pm.

Tafadhali sana.

Asanteni
kuna mdau hapo kasema anamfahamu ila umwelekeze PM ndo wapi akupe namba, fanya kumuuliza vzr
 
Nipo nae hapa Durban SA, wiki ya pili sasa. Na hata JF anaingia pia nae ni member so ntamwambia akucheki.
Wapendwa habarini,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba kwa anayemjua anipatie namba yake pm.

Tafadhali sana.

Asanteni
 
Kama umesoma nae chuo kimoja aiwezekani ukose chuo kizima mwenye Namba Yake ata kama mmesoma kozi tofauti aiwezekani kuna chain Yake ya marafiki zake watakusaidia kuna magroup ya chuo Facebook, what's app lazima utampata
 
Wapendwa habarini,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba kwa anayemjua anipatie namba yake pm.

Tafadhali sana.

Asanteni
Habari yako Mkuu, huyu ndo unamtafuta? au ni mwingine?
1977080_501640696613575_1818858733_n.jpg
 
Nipo nae hapa Durban SA, wiki ya pili sasa. Na hata JF anaingia pia nae ni member so ntamwambia akucheki.
Wow mie niko joburg. Mwambie basi kama inawezekana tukutane hata kesho.
 
kwa nini usiwaulize watu uliosoma nao? humu hatuwezi kukupa mawasiliano yake maana wewe mwenyewe hatujui una nia gani nae. Tumie utaratibu mwingine kumtafuta usituchoshe
 
Back
Top Bottom