Namtafuta Joseph Nicas Lukoa

Namtafuta Joseph Nicas Lukoa

nitumie namba yako pm na jina lake kamili baada ya dk 10 utaleta mrejesho hapa
Asante nshampa mtu anifanyie hvyo sikuwa na hilo wazo kabisa. Nashukuru sana.
 
Alisoma O-level Tabora?kama jibu ni ndio then nnamfahamu, but kwa majina mawili tu ukiyoyaweka hapo.
 
...Siku Njema,wasalimie SA,pole na BARIDI la huko
Aya bwana ......sasa uku hauna rafiki anitembeze mana naogopa kutembea mwenyewe nilivyo naonekana ni mgeni tu uku.
 
Loh sasa whatsapp nitamtafuta bila namba yake.
Wapendwa habarini,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba kwa anayemjua anipatie namba yake pm.

Tafadhali sana.

Asanteni

Mbona anapatika fb
 
Back
Top Bottom