alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 5,688
- 12,160
Mimi baba yangu sijaonana nae miaka 28 sasa.yupo mkoa mmoja hivi ni km 600 na ushee...sina time kabisa.namba zangu anazo.akipiga nakata.akinitext sijibu.haya maisha acha tu.sababu ya kufanya ivyo ni kwamba kila mtu ashinde mechi zake...alitultelekeza tukiwa wadogo..aendelee hivyohivyo.na hata wadogo zangu wanafanya hivyohivyo.kama angekuwa wa maana angekuja.kuomba radhi huenda tungejitahidi kushikamana nae.huo mkoa huwa napita sana na basi nikiwa kwenye mihangahiko ya maisha.sijawahi kushuka.nna hasira nae sana huyu mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app