Namtafuta baba yangu mzazi Mauridy Hamis Mwita

Mimi ni kijana wa miaka 23, sasa nachukua fulsa hii kumtafuta baba yangu ki ukweli sijawahai ata kumuona, mimi naitwa Werema Mauridy Mwita na baba yangu jina lake Mauridy Hamis Mwita.

Nimeishi na mama pamoja na baba wa kufikia. Ninachokumbuka kuhusu baba ni Kazi yake niliona katika cheti changu cha kuzaliwa kuwa ni Mwalimu wa Sekondari, jina la shule Kibaha Sekondari sasa sijajua kama bado ni mwalimu au la.

Naomba msaada kwa atakae kuwa anamjua anisaidie kuna vitu nakosa upande wa malezi ya baba.

Asanteni japo siko vizuri kiuandishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kibaha secondary watakupatia details zote hasa halmashauri alipokuwa anafanyia kazi. Huwa Wana mafaili ya taarifa za watumishi wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijamaanisha kuwa sipati malezi bora bali kumjua baba mzazi kuna kitu una gain so baba mlezi kanilea vizuri tu na nampenda kama baba yangu. Ila natamani nimpate baba yangu ata isiwe yeye ata ndugu zake sababu wote siwajui

Sent using Jamii Forums mobile app
Umezingua kusema kuna vitu hupati katika malezi, yan miaka23 yote baba wa kufikia amekuhangaikia leo hii unakuja kusema hupati malezi, unataka malezi yapi, kuwa na shukuran kwa huyo baba dunia hii wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni kijana wa miaka 23, sasa nachukua fulsa hii kumtafuta baba yangu ki ukweli sijawahai ata kumuona, mimi naitwa Werema Mauridy Mwita na baba yangu jina lake Mauridy Hamis Mwita.

Nimeishi na mama pamoja na baba wa kufikia. Ninachokumbuka kuhusu baba ni Kazi yake niliona katika cheti changu cha kuzaliwa kuwa ni Mwalimu wa Sekondari, jina la shule Kibaha Sekondari sasa sijajua kama bado ni mwalimu au la.

Naomba msaada kwa atakae kuwa anamjua anisaidie kuna vitu nakosa upande wa malezi ya baba.

Asanteni japo siko vizuri kiuandishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana miaka 23 afu Mwishoni hapo
Kuna vitu unakosa upande wa malezi ya baba! (Tena mwalim mstaafu)
Unakosa nini labda boxer, ndala, jojo, mdoli au ushauri wake? Fafanua 23yrs
Ushauri wangu kwako kijana, please ELEKEZA NGUVU KWENYE KUITAFUTA HELA UKIIPATA BABA ATAKUTAFUTA TU!
 
Umpate ili iweje? Mbona yeye hajakutafuta? Unajua sababu ya mama yako kutomtafuta? Heshimu hustle za mama yako kukulea mwenyewe.
Sijamaanisha kuwa sipati malezi bora bali kumjua baba mzazi kuna kitu una gain so baba mlezi kanilea vizuri tu na nampenda kama baba yangu. Ila natamani nimpate baba yangu ata isiwe yeye ata ndugu zake sababu wote siwajui

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wamekurupuka kujibu bila uchunguzi wa kina,mimi binafsi nilishazaa na mwanamke na akawa anapandikiza sumu kwa mtoto kuwa nilishakufa wakati sijawahi kukataa mimba na wala sikuwahi kuacha kuhudumia kila mwezi,wanawake ni viumbe katili sana ambao wamejivika sura ya kutia huruma

Sent using IPhone X
 
Kwenye huu uzi,ukichunguza kwa makini utabaini wanawake wengi hawakubaliani na swala la dogo kumtafuta baba yake

Dogo hajakosea hata kidogo,NI HAKI YAKE KUMJUA BABA YAKE MZAZI!

Tatizo wanawake wengi siku hizi m a ile dhana ya "NAWEZA KUMLEA MWENYEWE,USIJESOGEZA PUA YAKO KUMTAFUTA HUYU MTOTO" hapo unakuta mumeshindwana na mwenzi wako kwa sababu za kitabia au hata mapenzi kuisha baina yenu...

Ukiolewa na mwanaume mwingine,unam-disconnect mtoto na baba yake completely,matokeo take anakuja kukuumbua kwa kumtafuta biological father wake kama hivi,mwisho wa siku mnaanza kutoa laana butu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni kijana wa miaka 23, sasa nachukua fulsa hii kumtafuta baba yangu ki ukweli sijawahai ata kumuona, mimi naitwa Werema Mauridy Mwita na baba yangu jina lake Mauridy Hamis Mwita.

Nimeishi na mama pamoja na baba wa kufikia. Ninachokumbuka kuhusu baba ni Kazi yake niliona katika cheti changu cha kuzaliwa kuwa ni Mwalimu wa Sekondari, jina la shule Kibaha Sekondari sasa sijajua kama bado ni mwalimu au la.

Naomba msaada kwa atakae kuwa anamjua anisaidie kuna vitu nakosa upande wa malezi ya baba.

Asanteni japo siko vizuri kiuandishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Maulid( maulidy)
 
Wengi wamekurupuka kujibu bila uchunguzi wa kina,mimi binafsi nilishazaa na mwanamke na akawa anapandikiza sumu kwa mtoto kuwa nilishakufa wakati sijawahi kukataa mimba na wala sikuwahi kuacha kuhudumia kila mwezi,wanawake ni viumbe katili sana ambao wamejivika sura ya kutia huruma

Sent using IPhone X
Ok , umeshakufa kwani mtoto ilikuwa hauendi kumuona ? Hiyo pesa ya matunzo ilikuwa unaituma kwa njia gani ? Mtoto alikuwa na umri gani ?
 
Yaan nyie watoto msiokua na shukrani kwa baba zenu wa kufikia ndio mnasababisha hata single mothers wasiolewa
Sasa baba wa watu kakulea miaka zaidi ya 20 eti leo wamtaka baba yako.Tena kajidhiki kwa hali na mali ila fadhila unashindwa kumfadhili
Hata baba yako angekukosea tuu ,usijitie unyonge pengine yanayotokea sababu sio baba yako haipo hvyo ndugu

Nakutakia kheri katika harakati za kumtafuta baba yako pia zingatia matokeo ya wewe kumtafuta hy mzee kwa ustawi wa familia hii ya zaman
Umeandika vizuri Sana , ndio maana mababa wengine wa kufikia uwa hawajari watoto wa kambo, kwa kuwa baadhi yao hawana shukran
 
Ok , umeshakufa kwani mtoto ilikuwa hauendi kumuona ? Hiyo pesa ya matunzo ilikuwa unaituma kwa njia gani ? Mtoto alikuwa na umri gani ?

Umeshaanza kuingiza siasa kwenye mambo ya msingi!shule za kata zinaongeza mapimbi mjini

Sent using IPhone X
 
Kijana miaka 23 afu Mwishoni hapo
Kuna vitu unakosa upande wa malezi ya baba! (Tena mwalim mstaafu)
Unakosa nini labda boxer, ndala, jojo, mdoli au ushauri wake? Fafanua 23yrs
Ushauri wangu kwako kijana, please ELEKEZA NGUVU KWENYE KUITAFUTA HELA UKIIPATA BABA ATAKUTAFUTA TU!
Sahihi sana mkuu
 
Mimi ni kijana wa miaka 23, sasa nachukua fulsa hii kumtafuta baba yangu ki ukweli sijawahai ata kumuona, mimi naitwa Werema Mauridy Mwita na baba yangu jina lake Mauridy Hamis Mwita.

Nimeishi na mama pamoja na baba wa kufikia. Ninachokumbuka kuhusu baba ni Kazi yake niliona katika cheti changu cha kuzaliwa kuwa ni Mwalimu wa Sekondari, jina la shule Kibaha Sekondari sasa sijajua kama bado ni mwalimu au la.

Naomba msaada kwa atakae kuwa anamjua anisaidie kuna vitu nakosa upande wa malezi ya baba.

Asanteni japo siko vizuri kiuandishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lake halisi linaandikwa hivyo? Nimezoea kuona MAULID
 
Huyo baba amekulea mpaka umekuwa mtu mzima leo unasema hupati malezi mazuri ?? Kuwa mtu wa shukrani kijana. Kama baba ako hata hujawahi kumwona leo ndo atakupa malezi ? Au yeye atataka uwe vzuri kipesa ili umpe na yeye ??

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa siyo kitu mbele ya utu yy ana tunu ya kumuona baba yake kwani anajisikia aibu kila unae muona mtaani kwao yuko na baba yake lkn yy ni mpweke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom