Wakanda Prince
Member
- Oct 27, 2019
- 83
- 112
Ushauri konkiiiKama mama yako aliolewa na mwanaume mwingine akachukua jukumu la kukulea huyo ndie baba yako au mwanaume yoyte aliekulea mpka kufika hapo huyo ndie baba yako wacha kupoteza nguvu zako kumtafuta biological father maana usitegemee kupata chochote Cha maana zaidi ya salamu hakuna namna unaweza fanya kwa Sasa ukapata ule upendo halisi wa baba na mtoto.
Endelea kumtafuta ila nakusihi usitarajie makubwa baada ya kuonana nae.
Kumtafuta mzazi wako uliyempoteza sii dhambi, na kwa wakati niliofikia sihitaji msaada kutoka kwake, huenda nikawa msaada kwake, relax!Kama mama yako aliolewa na mwanaume mwingine akachukua jukumu la kukulea huyo ndie baba yako au mwanaume yoyte aliekulea mpka kufika hapo huyo ndie baba yako wacha kupoteza nguvu zako kumtafuta biological father maana usitegemee kupata chochote Cha maana zaidi ya salamu hakuna namna unaweza fanya kwa Sasa ukapata ule upendo halisi wa baba na mtoto.
Endelea kumtafuta ila nakusihi usitarajie makubwa baada ya kuonana nae.
Afadhali umemjibu, sijajua wanatoa wapi stress kiasi hikiTatizo si kupata chochote....dogo anahaki ya kumjua baba ake
[emoji848]Achana Nae...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah wabongo bhnUshauri konkiii
Hakuna cha wabongo bhna..haya kila la kheri[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah wabongo bhn
sawaFanya vile moyo wako umedhamilia
kwani nyinyi kama hamna taarifa zake mnakereka wapi?Hakuna cha wabongo bhna..haya kila la kheri
Anasema nimtafute, thats why I do.Ukimuuliza Mama yako mzazi yeye anakujibu nini kuhusu Baba yako?
Hakuna anaekereka dogokwani nyinyi kama hamna taarifa zake mnakereka wapi?
Yeye ndio anaweza kuwa na taarifa sahihi zaidi maana atakua anawajua baadhi ya ndugu zake na mahali alipozaliwa, lakini ukitumia tu hayo majina mawili kumtafuta sidhani kama unaweza kumpata sababu watu wanaoitwa Peter Matiko wapo wengi.anasema nimtafute, thats why I do