Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
- Thread starter
- #101
Kisa cha zabibu. Kwi kwi kwi teh teh teh, kwangu umelamba mchanga.
Ribosome tatizo wewe ni limbukeni, ya jana unatakua kuunganisha hapa.
sio kweli kua unavutia na ningetaka nikuweke kapuni, ila siwekaki kikapuni kile ambacho sikitaki
inakua kama kibudu. U think me stupid? nimekuuliza wakati upo interested na unatabia ya kuwenga
watu kiujumla kama ulivyo fanya analysis ya kitabu na hali hujasoma na ukakili.
Sibishani na wewe kushindana. ni kweli hunivutii sababu huna busara kama za mzee
mwana kijiji ambae unamchukia na kumuwaza kila mara. Unaonesha kabisa ni mdini ingawa umetumia
jina ambalo halioneshi wewe ni muislam, kauli yako kwa Mwali ilionesha wazi. Na hivi unajua wazi mie ni
mkristo hata siku moja siwezi kua type yako wala wewe mimi. hivo usinibabaishe na usinichafulie thread.
Hutaki ondoka hujalazimishwa hapa.