Namtafuta baba watoto wangu. Donge nono & SEXY digits Litatolewa!!!

Kaka Rejao ukiona hivyo ujue hii mada ngumu asee, wacha tu nibakie kuwa msomaji manake anachokitaka Erotica mmmhhhhhh!!!!!
Erotica anataka kutuharibia ndoa zetu tu, kwanza jina lake tu...erotic-a!!
Ngoja nitoke kwenye hii sredi mama watoto wangu asije akaona hizi comment!!
 
Last edited by a moderator:
Mi nikafikiri kuna mtu kakuzalisha halafu kasepa kimtindo Solemba, kakuacha umebeba mabegi uko kwenye mataa mekundu.

Kumbe unatafuta rijali?

Kiranga you have atleast 8 of those qualities. an almost perfect match,

on top of that charrismatic, can you be mine, I mean the father of my children?

sijampoteza ndio namtafuta, interested?
 
Last edited by a moderator:
erotica nipe mzigo huo......I promise,ntakupa mkuno wa haja,na utapata mapacha wanne.......
 
Wewe si unatafuta mtu mwenye sifa zote hapo juu? I am your man (no pun intended). But I need some guarantee too babe. Ingekua kila mwanamke anae taka kuzaa na mimi namkubalia kirahisi I wouldn't fit as the perfect father. we wouldn't want our twins to have tens of brothers and sisters, would we? Basi nielewe, I am as picky as you are, and that is why I am sure I am still on the top of your list. Who is Kaunga?


Taratibu Kaunga is my sweetest. the only gal who turns me on.

Kaunga love where are you? tumrudishe Taz kwenye list? he looks dishy!
 
Last edited by a moderator:
Erotica anataka kutuharibia ndoa zetu tu, kwanza jina lake tu...erotic-a!!
Ngoja nitoke kwenye hii sredi mama watoto wangu asije akaona hizi comment!!


Huyu ni Erotica Erocious? ama Erotica mwingine? mie sina shida na ndoa ya mtu papito.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom