Mi nikafikiri kuna mtu kakuzalisha halafu kasepa kimtindo Solemba, kakuacha umebeba mabegi uko kwenye mataa mekundu.
Kumbe unatafuta rijali?
Thank God! Nani anataka mtu kama wewe? Sikutaka ionekane napendelea. bye.
Wewe si unatafuta mtu mwenye sifa zote hapo juu? I am your man (no pun intended). But I need some guarantee too babe. Ingekua kila mwanamke anae taka kuzaa na mimi namkubalia kirahisi I wouldn't fit as the perfect father. we wouldn't want our twins to have tens of brothers and sisters, would we? Basi nielewe, I am as picky as you are, and that is why I am sure I am still on the top of your list. Who is Kaunga?
Erotica anataka kutuharibia ndoa zetu tu, kwanza jina lake tu...erotic-a!!
Ngoja nitoke kwenye hii sredi mama watoto wangu asije akaona hizi comment!!
BADILI TABIA mbona mguno? Too erotic-a?mmmmmmmmmhhhhh
Trial na wewe au na yeye? lol
Mimi kwanza; halafu nampa go ahead. Halafu ujue kuna vitu napaswa kukupa ili twins wawe na hizo vitu! Do u have an issue with threesome???
Would you please step aside lady? you are standing on my way.:bump2:
....................