Samahani mkuu, una mke?Na wewe usije muacha huyo mkeo uliyezaa nae, watoto wako wasije kuhangaika kukutafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
tunaposema tunaenda kuwaona wazee wetu huwa tunamaanisha wamezeeka?Mbona umemtaja kama Mzee na umeshasema hujawahi kumuona? huenda kwa miaka hiyo ya 80's alikuwa chalii tu na bado hajawa Mzee.
Pole sana mleta mada, kama mama yako alikulea mpaka hapo ulipofika kwanini unahangaika kumtafuta asiye kulea? Uje umkute ana matatizo lukuki uwanze kuyabeba.
Labda kama unataka kufahamu magonjwa ya kurithi kutoka kwenye ukoo wa Baba yako uanze kujilinda.