Haahaaaaa kama hujawahi kumwona unamtafuta wa nini ? Hapo ni kama anatafuta matatizo kwa nguvu ,mimi namfahamu ila najua nitakuwa nimekusaidia kuingia ktk matatizo sikuonyeshi alipoPole sana mleta mada, kama mama yako alikulea mpaka hapo ulipofika kwanini unahangaika kumtafuta asiye kulea? Uje umkute ana matatizo lukuki uwanze kuyabeba.
Labda kama unataka kufahamu magonjwa ya kurithi kutoka kwenye ukoo wa Baba yako uanze kujilinda.
Sent using Jamii Forums mobile app