Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 644
- 1,482
Mwaka 2017 niliamua binafsi kuwa mwanachama mfu wa CHADEMA na kujipa kazi ya kuwaeleza wanachama wa CHADEMA, Viongozi wa CHADEMA hususan Wabunge na Watanzania wote wapenda demokrasia kuwa Chama chao kikuu cha upinzani chini ya Mwenyekiti wake freeman Mbowe kimepoteza mwelekeo.
Niliongelea kuhusu mbowe kukidai Chama bilioni 7 na bia nilizungumzia zoezi la CHADEMA ni msingi kuwa lina lengo la kujenga Chama ndani ya Chama na kuwang'oa wote wanaompinga Mwenyekiti Mbowe.
Binafsi niliwafuata Wabunge kadhaa kuwashauri wachukua hatua za kumdhibiti Mwenyekiti wao kwasababu siku za mbeleni atawaumiza na kuhatarisha hata Ubunge wao. Wengi hawakufanya lolote. Wabunge waliofukuzwa juzi wote nilishawahi kuongea nao mara kadhaa kwasababu niliamini angalau wana ujasiri wa kuchukua hatua ila hawakufanya hivyo labda timing ilikuwa bado. Wamefukuzwa tena mwishoni ili waharibikiwe ndio wananielewa sasa.
Hotuba ya jana ya Mbunge Lijualikali Bungeni ilipaswa kutolewa na Wabunge hawa mapema kabla ya Uchaguzi ndani ya Chama ingewasaidia sana kulinda jasho lao ndani ya Chama. Sasa wanajilipua wakiwa wanakimbia uwanja wa vita. It makes little sense. Japo nimeshukuru angalau wabishi wachache wamekubaliana nami.
Kuonyesha kuwa Wabunge wa CHADEMA walikuwa pamoja na Lijualikali jana hakukuwa na muongozo wowote wala taarifa kutoka kwa Wabunge wa CHADEMA wote walikaa kimya kabisa.
Sasa nasubiri Wabunge wengine baada ya Bunge kuvunjwa nao wathibitishe maneno yangu. Mtu wa mwisho atakayenifanya niibuke shujaa wa vita hii dhidi ya Mbowe ni Tundu Lissu. Yeye ndie mhanga ajae miezi miwili hii ya mbeleni. Labda awe coward atasalimika kwa muda.
Mbowe ni tatizo kubwa kwa Demokrasia ya nchi hii. Amefuata nyayo za Lyatonga Mrema. Washauri wa Mrema wa mwaka 2000 yaani Msigwa, Lema n.k ndio washauri wakubwa wa Mbowe leo.
Wanaomshabikia Mbowe hao ndio wabaya zaidi