Namshukuru mungu kunijalia kusoma ulichoandikanamshukuru mungu "sikusoma"
kwa kuangalia haraka haraka tuu, kama watu wengi wa humu ndiyo wamesoma udsm, kweli kazi ipo huko nyumbani.
binti Nancy Tweed, please come back ufafanue what did you mean, mbona humu jf tuko wengi ambao elimu zetu sio za kihivyo, usije ukawa unakihukumu UD kwa posti zetu ambao sio wa univesity level?.kwa kuangalia haraka haraka tuu, kama watu wengi wa humu ndiyo wamesoma udsm, kweli kazi ipo huko nyumbani.
Nancy, first post unaanza na UDSM, ok tell us where have you studied..? baba yako ana chuo? halafu nidhamu yako is too low, in general unawadhalilisha wote waliopo na waliomaliza UD, unatoka DOM no dought, this shows u have babish, kiddish, childish mind, kama umefika chuo nitashangaa, don't expose ur ignorance here, best way kuficha ujinga wako keep quite, nikwambie hivi, ungesoma UD usingekuwa na ubongo unaotamka haya madudu, u join JF kusema haya?
Unaposema chuo kikuu unamaanisha udsm. Chaguo lako la kwanza enzi uliyosoma lilikua hapo ulipokosa ndo ukaangukia ulikosomea hicho cheti chako. Kwa ujumla wote mnaonyesha inferiority katika hiliUnaweza kuwa specific Dada Nancy ?
UDSM pamechoka, tulishawahi kuchambua maandishi kutoka tovuti yao hata mtoto anayeenda hizi English Medium schools na kurudi nyumbani kufuatilia CNN kwa makini hawezi kuandika vile.
kwa kuangalia haraka haraka tuu, kama watu wengi wa humu ndiyo wamesoma udsm, kweli kazi ipo huko nyumbani.
Ha ha I can smell some Juche here!.Nakubaliana nawe kwa kiasi fulani, hata mie sipafagirii sana mlimani kutokana na ubabaishaji, jamaa wako kinadharia zaidi katika kufundisha kuliko kivitendo.
Lakini inategemea umemaliza kitivo kipi kwani baadhi ya vitivo vinatoa wachapa kazi hodari na vitivo vingine hutoa vihiyo. Naomba niongolee mifano michache inayohusu vitivo vya sayansi na injiniaring.
Nlipata kusikia kuwa kuna injinia mmoja wa umeme alikufa kwa kupigwa shot na high voltage, kisa alitumia tochi kumulika katika chanzo cha high voltage. Na haya majengo yanayoanguka wakati yakijengwa kwa mainjinia si wanatoka mlimani??? Kwa mtindo huu, kweli kazi ipo.
Mimi binafsi ni graduate wa DIT. Nlipokuwa field kipindi fulani tulikuwa na wanafunzi wa mwaka wa pili kutoka chuo kikuu fulani. Cha kushangaza wenzetu walikuwa hawajui hata kuandaa
1 Molar solution.
kwa kuangalia haraka haraka tuu, kama watu wengi wa humu ndiyo wamesoma udsm, kweli kazi ipo huko nyumbani.
kwa kuangalia haraka haraka tuu, kama watu wengi wa humu ndiyo wamesoma udsm, kweli kazi ipo huko nyumbani.
Hivi umefika hata hapo UDSM penyewe hivi karibuni? Yaani pamechoka utadhani pametelekezwa.....
Kwa kuangalia tu ....?...
...Amasing how you can conclude all that ...kwa kuangalia tu!!
..You must be a genius ... above ..UDSM!!!..so you r very right Nicy!
serikari ndio inayotuangusha bwana!kuna mifano mingi sana kama kina Prof Baregu kuona kwamba hawana maana na wakati huohuo wanafunzi wanasema wameridhika na ufundishaji wake,pia Udsm inashuka hadhi kutokana na ongezeko la vyuo vikuu kuwa vingi wewe huoni hata zamani kulikuwa na shule za sekondari zilizokuwa zinatamba sana lakini miaka hii hazisikiki kabisa kutokana na ila kata kuwa na sekondari na kata nyingine kuwa na sekondari zaidi ya 6 so wasomi wameongezeka na hili soko huria nalo linachangia wanafunzi wengi wanasoma nje ya nchi hasa wenye vipaji maalum ndio maana UDSM kwa sasa haitoi matunda kama yale ya zamani ila ukiangalia kwenye world ranking ya vyuo vikuu Africa na Kidunia bado utakuta UDSM ipo juu kwa nchi za ukanda wa africa mashariki kwa kifupi tembelea linki hii hapa!!Ranking Web of World universities: Top 12000 World Ranking na nyingine pia hii hapa 4 International Colleges & Universities | World Universities Web Ranking
Who are those great minds that are coming out of there? Name names sir!!
Unataka nikubali kuwa kuna vijengo vipya. Sawa nakubali. Lakini hivyo vijengo vipya ni asilimia ngapi ya campus? Vipi yale ya zamani? Mbona yametelekezwa? Hata ulinzi ni hafifu hadi ofisi za walimu zinawekewa magrill ya kuzuia wezi. Hii ni aibu!!! Au wewe unataka kuniambia hali ya chuo hicho ni nzuri tu na unaridhika nayo?