Namshukuru Mungu nimepona

Mungu ni mwema daima, hakuna Zaidi yake hata shetani ajaribu vipi kutushawishi Mungu yu nasi na anatusamehe tu. Hongera kwa kupona na pole kwa kusumbuka na maradhi yako.
 
MATHAYO 21:22 Inasema "Na yoyote mtakayoyaomba katika sala, MKIAMINI mtayapokea". Mungu ni mweza.
 
Kama kuna Mungu aliye hai kungekuwa hamna wagonjwa kabisa.

Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?
Sitathibitisha kwamba Mungu yupo bali nitathibitisha kuwa Mungu aliye hai ndio chanzo cha huyu mleta thread kuponyeshwa na hao madokta, baada hapo tayari utakuwa umeshapata jibu lako.

Kwanza nikuulize unaamini kuwa kuna miujiza?
 
unaweza kuthibitisha kuwa hayupo?
the story behind your creation ni proof tosha kuwa kuna nguvu ya ziada behind all this
Story gani behind my creation?

Unaweza kuthibitisha chochote ambacho hakipo kwamba hakipo?
 
Sitathibitisha kwamba Mungu yupo bali nitathibitisha kuwa Mungu aliye hai ndio chanzo cha huyu mleta thread kuponyeshwa na hao madokta, baada hapo tayari utakuwa umeshapata jibu lako.

Kwanza nikuulize unaamini kuwa kuna miujiza?
Wagonjwa wangapi wanamuomba huyo mungu na bado wanafariki?

Kupona au kutopona hakuthibitishi uwepo wa mungu

Je angefariki ina maana mungu hayupo?
 
Nitapenda kuona ukithibitisha.

Muujiza ni nini na utajuaje huu ni muujiza na si kitu nisichokijua tu?

Wazungu walivyokuja na gramophone kucheza muziki, waafrika ambao hatukujua sayansi ya kunasa sauti tulivyoona kibox kinaimba muziki ni kama muujiza.

Tukawaona wazungu kamamiungu fulanihivi, ndiyomaana mzungu na mungu zinapishana z tu.

Hawa waafrika waliona muujiza kwa sababu hawakuelewa ile gramophone inavyofanya kazi.

Leo vitukuu vyao tumeelewa hatuoni tena muujiza.

Utakapoona kitu unachofikiri muujiza, utajuaje huu muujiza kweli na si ujinga wako tu kutokujua mambo kama wale waafrika walioona gramophone kutoa sauti ya mtu ni muujiza?
 
Wagonjwa wangapi wanamuomba huyo mungu na bado wanafariki?

Kupona au kutopona hakuthibitishi uwepo wa mungu

Je angefariki ina maana mungu hayupo?

Ukiwa tayari na negative thought juu ya chochote kinacho muhusu Mungu basi ni rahisi kuleta argument kama hii, kwamba eti kwa sababu mgonjwa X pamoja na kumuomba Mungu hajapona lakini mgonjwa Y amepona basi huyo Mungu unamuona kama ana upendeleo na hatimae kuhitimisha kuwa hayupo.

Hapo inaonesha unahitaji kupata darasa linalohusu Maombi ndio utafahamu kwani kuna maombi hayajibiwi na mengine yanajibiwa. Sio kila huwa inasiklizwa ndugu.

Hata kitendo cha binadamu kufariki bado ni uthibitisho tosha wa uwepo wa Mungu.. "ni kwanini lazima ufariki"?
 
Amen....!! hongera chief
 
Thibitisha kwamba Mungu yupo.

Binadamu kufariki si uthibitishokwamba Mungu yupo.

Ni uthibitisho kwamba Mungu hayupo.

Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote angekuwepo, kifo kisingekuwepo.

Kifo kinam contradict huyo Mungu.
 
Utukufu na heshima apewe yeye Mungu atuponyaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…