Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,331
- 7,885
Nitapenda kuona ukithibitisha.
Muujiza ni nini na utajuaje huu ni muujiza na si kitu nisichokijua tu?
Wazungu walivyokuja na gramophone kucheza muziki, waafrika ambao hatukujua sayansi ya kunasa sauti tulivyoona kibox kinaimba muziki ni kama muujiza.
Tukawaona wazungu kamamiungu fulanihivi, ndiyomaana mzungu na mungu zinapishana z tu.
Hawa waafrika waliona muujiza kwa sababu hawakuelewa ile gramophone inavyofanya kazi.
Leo vitukuu vyao tumeelewa hatuoni tena muujiza.
Utakapoona kitu unachofikiri muujiza, utajuaje huu muujiza kweli na si ujinga wako tu kutokujua mambo kama wale waafrika walioona gramophone kutoa sauti ya mtu ni muujiza?
supernatural power ndio inaaminika kuwa ina control kila kilichopo ambacho kipo beyond ya uwezo wa kibinadamu.
Sasa hapo kwenye hiyo supernatural power kuna mtu yeyote umewahi kuskia akikwambia chanzo chake ni hiki!? Na kama hayupo unahisi chanzo ni nini!?
Kusema kwamba kitu usichokijua sio miujiza bali ni ujinga tu wa kutokujua na kuhisi kwamba kuna siku kitu hicho kitafahamika tu chimbuko lake ni nini huo sasa ni ubishi tu na kujaribu kupingana na nature.
Huwezi ukasema ni kwanini hatuwezi kuzuia vifo hata iweje ni lazima tufe basi ni kwa sababu tu sisi binadamu wa kizazi cha Leo bado ni wajinga ila naamini kuna siku itapatikana soln ya kuzuia kifo.
Miujiza ipo sana tu mkuu. Umewahi kuona mtu ameoteshwa mpera kichwani?