Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Mkuu umeugua lini kila siku tupo wote hapa JF? hongera sana kama ni kweli.
Hujathibitisha, unaelewa kuthibitisha ni nini?Ndio jiangalie mwenyewe utqpata jibu
Sifa na Utukufu kwa Mungu Baba Muumba mbingu na Dunia na vitu vyote vinavyo onekana na visivyo onekana Tangu mwaka Jana kuanzia mwezi March nilikuwa nasumbuliwa sana na mwili wangu nikaenda hospital nikawa napata matibabu lakini nini endelea hadi mwaka huu ,hadi mwaka unapinduka bado nikawa na maumivu,tulipofika kwaresma nikaweka malengo
1:Nikafunga kwa kujinyimq au kubadiri ratiba yangu ya chai kila saa sita nasali kwanza ndio nakunywa chai kwa kawaida uwaga saa tatu nakunywa chai
2:misa ya alhamisi kuu tukaenda kwenye misa nikiwa na lengo la kuyaacha magonjwa msalabani
Namshukuru Mungu nipo vizuri sana na nipo happy sana
Amen
Huyu jamaa mpagani ??Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Hata Mimi nashangaaUmeenda hospitali, madaktari wamekutibu, shukurani unampa Mungu.
Mpagani ana sifa gani?Huyu jamaa mpagani ??
unaweza kuthibitisha kuwa hayupo?Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Sitathibitisha kwamba Mungu yupo bali nitathibitisha kuwa Mungu aliye hai ndio chanzo cha huyu mleta thread kuponyeshwa na hao madokta, baada hapo tayari utakuwa umeshapata jibu lako.Kama kuna Mungu aliye hai kungekuwa hamna wagonjwa kabisa.
Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?
Huyu jamaa afadhali ya mpagani.Huyu jamaa mpagani ??
Story gani behind my creation?unaweza kuthibitisha kuwa hayupo?
the story behind your creation ni proof tosha kuwa kuna nguvu ya ziada behind all this
Wagonjwa wangapi wanamuomba huyo mungu na bado wanafariki?Sitathibitisha kwamba Mungu yupo bali nitathibitisha kuwa Mungu aliye hai ndio chanzo cha huyu mleta thread kuponyeshwa na hao madokta, baada hapo tayari utakuwa umeshapata jibu lako.
Kwanza nikuulize unaamini kuwa kuna miujiza?
Nitapenda kuona ukithibitisha.Sitathibitisha kwamba Mungu yupo bali nitathibitisha kuwa Mungu aliye hai ndio chanzo cha huyu mleta thread kuponyeshwa na hao madokta, baada hapo tayari utakuwa umeshapata jibu lako.
Kwanza nikuulize unaamini kuwa kuna miujiza?
Wagonjwa wangapi wanamuomba huyo mungu na bado wanafariki?
Kupona au kutopona hakuthibitishi uwepo wa mungu
Je angefariki ina maana mungu hayupo?
Amen....!! hongera chiefSifa na Utukufu kwa Mungu Baba Muumba mbingu na Dunia na vitu vyote vinavyo onekana na visivyo onekana Tangu mwaka Jana kuanzia mwezi March nilikuwa nasumbuliwa sana na mwili wangu nikaenda hospital nikawa napata matibabu lakini nini endelea hadi mwaka huu ,hadi mwaka unapinduka bado nikawa na maumivu,tulipofika kwaresma nikaweka malengo
1:Nikafunga kwa kujinyimq au kubadiri ratiba yangu ya chai kila saa sita nasali kwanza ndio nakunywa chai kwa kawaida uwaga saa tatu nakunywa chai
2:misa ya alhamisi kuu tukaenda kwenye misa nikiwa na lengo la kuyaacha magonjwa msalabani
Namshukuru Mungu nipo vizuri sana na nipo happy sana
Amen
Thibitisha kwamba Mungu yupo.Ukiwa tayari na negative thought juu ya chochote kinacho muhusu Mungu basi ni rahisi kuleta argument kama hii, kwamba eti kwa sababu mgonjwa X pamoja na kumuomba Mungu hajapona lakini mgonjwa Y amepona basi huyo Mungu unamuona kama ana upendeleo na hatimae kuhitimisha kuwa hayupo.
Hapo inaonesha unahitaji kupata darasa linalohusu Maombi ndio utafahamu kwani kuna maombi hayajibiwi na mengine yanajibiwa. Sio kila huwa inasiklizwa ndugu.
Hata kitendo cha binadamu kufariki bado ni uthibitisho tosha wa uwepo wa Mungu.. "ni kwanini lazima ufariki"?