Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Sifa na Utukufu kwa Mungu Baba Muumba mbingu na Dunia na vitu vyote vinavyo onekana na visivyo onekana Tangu mwaka Jana kuanzia mwezi March nilikuwa nasumbuliwa sana na mwili wangu nikaenda hospital nikawa napata matibabu lakini nini endelea hadi mwaka huu ,hadi mwaka unapinduka bado nikawa na maumivu,tulipofika kwaresma nikaweka malengo
1:Nikafunga kwa kujinyimq au kubadiri ratiba yangu ya chai kila saa sita nasali kwanza ndio nakunywa chai kwa kawaida uwaga saa tatu nakunywa chai
2:misa ya alhamisi kuu tukaenda kwenye misa nikiwa na lengo la kuyaacha magonjwa msalabani
Namshukuru Mungu nipo vizuri sana na nipo happy sana
Amen
madaktari walijiumba?.Umeenda hospitali, madaktari wamekutibu, shukurani unampa Mungu.
soma vizuri madaktari wameumbwa na naniUmeenda hospitali, madaktari wamekutibu, shukurani unampa Mungu.
nimesumbuliwa karibu mwaka ila nimekuja kuwa vizuri mwezi april baada ya kwaresmamadaktari walijiumba?.
Mungu kamponyesha kupitia madaktari
HakikaMungu ni mwema
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?madaktari walijiumba?.
Mungu kamponyesha kupitia madaktari
Umeenda hospitali, madaktari wamekutibu, shukurani unampa Mungu.
Wameumbwa na nani?soma vizuri madaktari wameumbwa na nani
Kama kuna Mungu aliye hai kungekuwa hamna wagonjwa kabisa.Mungu aliye hai bila yeye kutia baraka zake hata hao matabibu waliomtibu wasingefanikisha kazi yao ya kumponyesha kiumbe huyu na ndio maana shukrani zinaanzia kwake.
Ndio jiangalie mwenyewe utqpata jibuUnaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?