Namshukulu=NamshukuruKatika movie ya Black Panther Lupita Nyongo ameliwakilisha vizuri taifa lake la TANZANIA
Nawashukulu watanzania wote kwa kuwakilishwa vizuri na mtanzania mwenzenu LUPITA NYONGO
Hapo kwa nawashukuru sijakuelewa.Namshukulu=Namshukuru
Nawashukuru = Nawashukuru
Hujaelewa nini? Au huja soma post ya mtoa mada.Hapo kwa nawashukuru sijakuelewa.
Nimeisoma ila hapo kwenye comment yako, nawashukuru=nawashukuru ndo umenikanganya kidogo.Hujaelewa nini? Au huja soma post ya mtoa mada.
Bangi ina madhara sana mwanangu. Wachana nayoKatika movie ya Black Panther Lupita Nyongo ameliwakilisha vizuri taifa lake la TANZANIA
Nawashukulu watanzania wote kwa kuwakilishwa vizuri na mtanzania mwenzenu LUPITA NYONGO
Wamarekani, watu wa ulaya na mataifa mengine wanazidi kutiririka Tanzania, kwa sababu ya Mbuga zetu za Tanzania, na mlima Kilimanjaro na vivutio vingi na Huyu Dada LUPITA NYONGO ata zidi kufanya watu wengi waje TANZANIA.Wacha upuzi. Unaanzisha thread nzima kutupima akili? Kijiweni hakukaliki nini?
Mkuu usiseme vijiwe vya watanzania, sema vijiwe vya waswahili wakiwa wanakunywa gahawa na kashata..Hivi ndio huwa kwenye vijiwe vya Watanzania, yaani ukikaa pembeni kimya uwasklize unaweza kujikuta unacheka hadi mbavu ziume.
Hivi ndio huwa kwenye vijiwe vya Watanzania, yaani ukikaa pembeni kimya uwasklize unaweza kujikuta unacheka hadi mbavu ziume.
Wewe hujui hata Lupita ni wa Kenya.Acha kuchangia mada kama huna uelewa.Katika movie ya Black Panther Lupita Nyongo ameliwakilisha vizuri taifa lake la TANZANIA
Nawashukulu watanzania wote kwa kuwakilishwa vizuri na mtanzania mwenzenu LUPITA NYONGO
I get to interact with 4 of my Tanzanian hirelings and although young..all under 30...they're very naive and oblivious of the most common of basics like global current affairs. With free access to info in this age,I just pity them