Namshukulu Lupita Nyongo

Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
7,503
7,107
Katika movie ya Black Panther Lupita Nyongo ameliwakilisha vizuri taifa lake la TANZANIA

Nawashukulu watanzania wote kwa kuwakilishwa vizuri na mtanzania mwenzenu LUPITA NYONGO
 
Namshukulu=Namshukuru
Nawashukuru = Nawashukuru
 
Katika movie ya Black Panther Lupita Nyongo ameliwakilisha vizuri taifa lake la TANZANIA

Nawashukulu watanzania wote kwa kuwakilishwa vizuri na mtanzania mwenzenu LUPITA NYONGO
Bangi ina madhara sana mwanangu. Wachana nayo
 
Wacha upuzi. Unaanzisha thread nzima kutupima akili? Kijiweni hakukaliki nini?
Wamarekani, watu wa ulaya na mataifa mengine wanazidi kutiririka Tanzania, kwa sababu ya Mbuga zetu za Tanzania, na mlima Kilimanjaro na vivutio vingi na Huyu Dada LUPITA NYONGO ata zidi kufanya watu wengi waje TANZANIA.
Naona Wakenya inawauma sanaaaaa, na wavimbe wapasukeeeeeeeeeeeeee.
 
Hivi ndio huwa kwenye vijiwe vya Watanzania, yaani ukikaa pembeni kimya uwasklize unaweza kujikuta unacheka hadi mbavu ziume.

I get to interact with 4 of my Tanzanian hirelings and although young..all under 30...they're very naive and oblivious of the most common of basics like global current affairs. With free access to info in this age,I just pity them :rolleyes:
 
Katika movie ya Black Panther Lupita Nyongo ameliwakilisha vizuri taifa lake la TANZANIA

Nawashukulu watanzania wote kwa kuwakilishwa vizuri na mtanzania mwenzenu LUPITA NYONGO
Wewe hujui hata Lupita ni wa Kenya.Acha kuchangia mada kama huna uelewa.
 
I get to interact with 4 of my Tanzanian hirelings and although young..all under 30...they're very naive and oblivious of the most common of basics like global current affairs. With free access to info in this age,I just pity them :rolleyes:

Kwanza in Bongo, I used to engage most of them in bar talk and would ask basic geographical questions such as names of all their neighboring countries, man what a shocker, adults who can't name more than three countries surrounding them, stuffs that can be answered so effortlessly by my kids in their sleep and would go as far as naming their capital cities, currencies etc.
My boy in class six even draws Africa and most of its countries..... I think Ujamaa system unplugged from much.
 
Back
Top Bottom