Namshauri Mh. Rais abadilishe fedha ya nchi

Namshauri Mh. Rais abadilishe fedha ya nchi

January Makamba wakati kampeni ikiendelea alipiga billion 1.7 hadi Magufuli akapagawa lakini bahati akina Membe na Jack Gotham wakaenda china kuwatisha kuwa endapo Ukawa watachukua Nchi mikataba yao yote ikiwemo ya bandari ya Bagamoyo itafutwa, ndipo Serikali ya China ikatoa tena Mabilioni ya dola kampeni ikaendelea zikatumika kununua magoli ya mikono, zile Mabilioni zilizosalia zote kinana peke yake alichukua billion 3 kisha zingine wakagawana mzee mangula, Nape, Luhavi, mama zakia na wajanja wengine wa ccm wakiwemo hao hao akina Membe na Jack Gotham ambao pia wana Bank majumbani mwao wamehifadhi Mabilioni ya marehemu Gadafi,
.
Aisee CCM kweli ni mamafia kwa style hii Magu atawaweza kweli
 
Benard Membe ana handaki kubwa nyumbani kwake amehifadhi Mabilion ya dola za marehemu Gadafi huku zingine akiwa kazificha kwa Jack Gotham rafiki yake mkubwa mmiliki wa Tenda ya vitambulisho vya Taifa, hata Nape, mwigulu na January Makamba , kinana, mangula, Rajab luhavi na wajanja wa CCM waliopiga pesa za kampeni toka China wamezificha ndani Aridhini, wengine wajanja zaidi wamenunua majumba Ulaya, Dubai, South Africa na kufungua biashara kwa majina ya watu mbalimbali, .

Mkuu unatumwagia vitu adimu sana,ndio maana wako kimya hawasemi chochote
 
Mkuu dola ndio inatakiwa iwepo Zambia walipiga marufuku iyo dola kama miaka miwili iliyopita sasa imekua Hadimu kweli na rate kwa dola mia mpaka milion na laki tano kwatcha kwa sasa. Sema matumizi ya kuuza tv mlimani city au sahani eti kwa dola hao wapigwe marufuku..



Acha uongo Mkuu, $100 Ni sawa Na Kwacha 1,100 hiyo Million sijui 500,000 kwa rate ipi?
 
Acha uongo Mkuu, $100 Ni sawa Na Kwacha 1,100 hiyo Million sijui 500,000 kwa rate ipi?

Mi sio mtaalamu wa maswala ya uchumi ila zambia walibadilisha currency code 2012-13 kuvunja sifuri kadhaa mbele ya old zambia kwacha. New kwacha became as new currency....nchi nyingi zenye currency zisizo na thamani zimefanya hili
 
Ni wazo zuri sana! Zitolewe siku kama kumi hivi kubadilisha fedha na hivyo itazuia pesa yetu iliyopo nchi jirani kurudishwa nchini kuja kuibadili,
 
umefanya kosa kusemea hapa jf,ni km umewastua wataanza kuzichange na kununua currency zingine taratibu.
 
Wasithubutu kufanya hivyo kisa kuwakomoa mafisadi. Serikali itapigwa chenga moja na itafungwa goli kana kwamba hakuna golikipa. Kwanza kwa mtazamo wangu mafisadi endapo wameficha Tshs kwenye safe zao watafanya jitihada za kuzibadili zote kuwa dollars na hapo hatutazipata tena.
Btw najuliuliza kwanini noti za elfu kumi zilibadilishwa tulipokaribia uchaguzi?
Je Inawezekana zilipofika benki kuu zilirudi tena kwa kupakiwa kwenye magari na mafisadi kupitia mlango wa nyuma?
Je labda serikali ilizipeleka kwenye uchaguzi kupitia mlango wa nyuma?
Hua najiuliza labda serikali ikiamua hayo mambo hapo juu inaweza au haiwezi?
Swali la kizushi Ile sarafu yetu ya silvery mbona siioni tena imekua adimu kama kumwona Mheshimiwa Rais wa JMT ana kwa ana
 
Hivi mtu anaweza akakaa na mabilioni ndani?

wako wengi tu na hasa wauza unga na hata baadhi ya wafanyabiashara na hasa wale waTanzania wenye asili ya Asia. Hivi wewe hujui kuwa kuna watu wana benki zao za siri? Kuna watu wanakopesha fedha sh. 300,000/- kwa sh. 100,000/. Fedha zikibadilishwa ndipo utaona watu wanaenda benki na magunia ya fedha. Watu watakodiwa kwenda kusaidia kubadili fedha benki ambapo kama, kwa mfano, ukibadili sh. milioni 50 unaweza kuambulia sh. milioni tano au kumi kama kamisheni yako. Watu wa benki wanaweza wakawa matajiri kwa muda mfupi. Hii iliwahi kutokea miaka ya nyuma.'
 
umefanya kosa kusemea hapa jf,ni km umewastua wataanza kuzichange na kununua currency zingine taratibu.

Ni kweli kabisa, lakini hata isingesemwa humu JF nahisi serikali ya awamu ya tano itabadilisha currency muda sio mrefu ujao na mafisadi ni lazima wanaljua hiii na wamejiandaa kukabiliana nalo.
 
Currency huwa haibadilishwi kiholela mkuu.mpaka kuwe na overnight inflation kama iliyotokea zimbabwe na kuwafanya waanze kutumia us dollar.
 
Benard Membe ana handaki kubwa nyumbani kwake amehifadhi Mabilion ya dola za marehemu Gadafi huku zingine akiwa kazificha kwa Jack Gotham rafiki yake mkubwa mmiliki wa Tenda ya vitambulisho vya Taifa, hata Nape, mwigulu na January Makamba , kinana, mangula, Rajab luhavi na wajanja wa CCM waliopiga pesa za kampeni toka China wamezificha ndani Aridhini, wengine wajanja zaidi wamenunua majumba Ulaya, Dubai, South Africa na kufungua biashara kwa majina ya watu mbalimbali, .

Mkuu hii nshidaaaa , imekaaje hii .. so inabidi huyu Membe kuchunguzwa .. tetesi kuntu hizi mkuu! PCCB sijui wanapitaga na huku! ?
 
Arudishe zile za mkapa aziimalishe tuu kwa teknology ya kisasa
hizi za mkwere za madafuu
 
nataka raisi apige marufuku matumizi ya dola kwenye nchi yetu.na atakaye kiuka haya akamatwe na kufunguliwa mashtaka kwa kuihujumu nchi.
mkuu hapo umenena matumizi ya dola yapigwe marufuku unaenda kununua bidhaa mjini muindi anakuambia inauzwa kwa dola, tuwe ka china ni marufuku kufanya biashara ndani ya china kwa kutumia dola. Na iwekwe sheria ikitokea mtu kakamatwa ni kifungo si chini ya miaka mitatu mpk mitano na kulipa faini isiyopungua 20m na kuendelea. Nina amini rais akifanya hivyo ishiringi inapanda thamani
 
No, hii haina maana.... kwa uhakika kabisa, kwa Tz ya sasa, hakuna mtu anaweza weka tshs 500,000,000 nyumbani... Hata kama yupo say 1 au 2, huwezi badili FEDHA ya nchi sbb ya watu 2 au 3 hata kama wapo... !!

Kuna njia nyingi za kudhibiti hizo fedha zisizagae mikononi mwa watu... Moja wapo ni FEDHA HARAMU ya Drugs... pili UKWEPAJI KODI MKUBWA... na tatu KUDHIBITI MFUMUKO wa bei, meaning fedha kuwa na VALUE... Grand CORRUPTION etc..

So, No, No... kubadili fedha, umefikiria kwa kifupi sana pua na mdomo..
Tatizo si rahisi kujua tunaongea na nani na ana nia gani
na kwa sasa tunaogopana coz tunatumia ID fake,
let say wewe ni mmoja wa wanamiliki fedha nyingi nyumbani kweli utakubaliana
na wazo hili? kama umeona mawazo ya @Minyoo usije ukadharau wazo wakati kila mtu
kwa sasa anachangia mawazo ili kurekebisha uchumi wa nchi uliobomoka.

Binafsi naamini ikulu ina mkono mrefu kuliko tunavyofikiri
inaweza kuchunguza hili na kuona kama kuna haja ifanye hivyo
unaweza ukawa unachangia kama wengiine walivyochangia ni vyema
ila mahali tulipo siyo salama sana ni kama kipindi kile cha ulanguzi
hivyo kila mmoja wetu anatakiwa kusaidia ili taifa lirudi kwenye hali yake ya kwanza.
 
Nadhani kuna haja ya kutoa ushauri kutumia ile email ya ikulu
 
Currency huwa haibadilishwi kiholela mkuu.mpaka kuwe na overnight inflation kama iliyotokea zimbabwe na kuwafanya waanze kutumia us dollar.
Are you serious?
Unataka kuniambia tulipobadilisha fedha zile kubwa kama magazeti
na kutoweka mwisho wa matumizi ya noti hizo,tulikuwa tumepatwa na nini?
unaposema holela unamaanisha nini? labda sijakupata.
 
Back
Top Bottom