Namshauri Mh. Rais abadilishe fedha ya nchi

Namshauri Mh. Rais abadilishe fedha ya nchi

Huo ni mfumo wa kizamani (kubadilisha fedha ushapitwa na wakati) !!!
JT2014 Uchumi utayumba ukicheza na uchapishaji..... (maana itaicost nchi...gharama zake zifanye mambo ya maana)
 
Last edited by a moderator:
January Makamba wakati kampeni ikiendelea alipiga billion 1.7 hadi Magufuli akapagawa lakini bahati akina Membe na Jack Gotham wakaenda china kuwatisha kuwa endapo Ukawa watachukua Nchi mikataba yao yote ikiwemo ya bandari ya Bagamoyo itafutwa, ndipo Serikali ya China ikatoa tena Mabilioni ya dola kampeni ikaendelea zikatumika kununua magoli ya mikono, zile Mabilioni zilizosalia zote kinana peke yake alichukua billion 3 kisha zingine wakagawana mzee mangula, Nape, Luhavi, mama zakia na wajanja wengine wa ccm wakiwemo hao hao akina Membe na Jack Gotham ambao pia wana Bank majumbani mwao wamehifadhi Mabilioni ya marehemu Gadafi,
.

Duh, ya kweli hayo, haya mkuu. Lakini ukweli unabaki kuwa kuna mabilioni yamefichwa nje ya mfumo wa bank, sasa ni njia gani kuyatoa huko, Pombe to buy idea here at JF.
 
Jinsi ya kuwabana, Maduka yote yanauza dola yafungwe, Benki maalumu sio zote ndizo ziuze dola, hapo atawaweza, maduka haya yanatumika sana kutorosha dola, na ukiwa na dola nyingi watwambie zimepatikanaje?
 
Wale kwakubadirisha kutoka pesa ya kawaida kwenda mfumo wa dola je
 
Kutakatisha pesa hapa Bongo ni rahisi sana.Unaanzisha biashara ya kuuza magari,real estates nk.Na serikali inakutazama tu!
 
Benard Membe ana handaki kubwa nyumbani kwake amehifadhi Mabilion ya dola za marehemu Gadafi huku zingine akiwa kazificha kwa Jack Gotham rafiki yake mkubwa mmiliki wa Tenda ya vitambulisho vya Taifa, hata Nape, mwigulu na January Makamba , kinana, mangula, Rajab luhavi na wajanja wa CCM waliopiga pesa za kampeni toka China wamezificha ndani Aridhini, wengine wajanja zaidi wamenunua majumba Ulaya, Dubai, South Africa na kufungua biashara kwa majina ya watu mbalimbali, .

Hii comment imebidi nisome Id ya mwandishi nikagundua ndio maana alijiita minyoo. Hata kama una data kamili huwezi andika hivi lazima uwe unatatizo
 
Aisee kuna mijitu haina huruma na nchi hii, ni miselfish kupita kiasi
 
Hii nchi ina magenius wengi ila taifa halina muda na ushauri. Mfano noti za zamani za elfu kumi na elfu5 bado ni nyingi mno mtaani, ikumbukwe benk kuu na benki za Biashara zilishaacha Ku issue izi noti, jiulize supplier ni nani? It implies zilikuwepo kwenye magunia na magunia ya watu. Technique ya kuziacha noti zote zi run pamoja ni ujanja wa watu flani ivi
 
JT2014

great Idea, iendane na devaluation au kuondoa sifuri moja kwenye fedha yetu.pia iambatane na BAN ya Mauzo yote ya nyumba,viwanja au mali zisizohamishika kwa cash.biashara ha kununua shamba kwa million 20 ufe.ili transfer iwe legal,lazy iambatane na bank slip. Ukijumlisha na ubadilishaji wa fedha Ndani ya wiki moja,mabazazi wanaptutia umaskini watakuwa na Wakati mgumu Sana.

Au transactions zote zaidi ya milion moja zipitie bank.
 
Akibadilisha tu zangu mi tayari nishajiandaa hata mje mchwa watu mtaona kama ni rangi nataka kupaka nyumba yangu
 

Attachments

  • 1448902513408.jpg
    1448902513408.jpg
    122.1 KB · Views: 186
Arudishe zile za mkapa aziimalishe tuu kwa teknology ya kisasa
hizi za mkwere za madafuu
Mkuu hakuna kitu kiliniuma kama ile hotuba
ya rais aliyoitoa diamond jubilee akaziita fedha za nchi
anayoiongoza ''madafu''
nilijiuliza maswali mengi, mojawapo likiwa
ni kwa nini unakuta mtu unafanya kazi kwenye
kampuni ya kigeni,transaction zote za kampuni
zinafanyika kwa fedha ya kigeni,lkn inapokuja
issue ya mishahara kwa wafanyakazi wake mnalipwa
Tshs kwa kisingizio cha uzalendo afu mkulu
fedha tunayoithamini anaiita madafu? nilichoka
Nikajisemea moyoni kwanini sisi tunalazimishwa
kulipwa madafu badala ya fedha wakati tupo
kwenye taasisi zenye fedha? kwa kisingizio cha uzalendo!
 
Back
Top Bottom