Namshauri Bilionea Patrice Motsepe Rais wa Heshima wa CAF afute michuano hii ya CHAN

Chibike

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
4,896
Reaction score
7,522
Michuano Gani ambayo Haina shamrashamra, michuano inafanyika kwenye nchi ambayo watu hawana muda, marketing iliyofanyika ni ya kiwango Cha chini sana, Yan mtu anaetoka ulaya akija hawez kujua kabisa kwamba Kuna michuano ya mpira wa miguu inafanyika nchini,

Naona kabisa bilionea Motsepe ataifuta hii michuano....imedoda kabisa na Motsepe hapendi vitu visivyo na shamrashamra ..hii michuano ingefutwa tu kwa ushari wangu, futilia mbali pia CECAFA, Ibaki tu AFCON.

Nchi hii tajiri hivyo tumeshindwa kupiga marketing Moja ya hatari, kama tuna uwezo wakua na matumizi yasiyo na tija kwa mujibu wa CAG zaidi ya Bilioni 600, tunashindwa nini michuano midogo hii kupiga marketing Moja matata kabisa ..dah. aibu.
 
Shida wala sio marketing , wabongo hawapendi Mpira bali wanazipenda Simba na Yanga tu. Ajabu kweli kweli . Ni rahisi shabiki kutoka njombe kusafiri kuja dar kuangalia kariakoo derby, ila sio rahisi shabiki kusafiri kuja kuiona stars hata iwe fainali dhidi ya Senegal.
 
Michuano Gani ambayo Haina shamrashamra, michuano inafanyika kwenye nchi ambayo watu hawana muda, marketing iliyofanyika ni ya kiwango Cha chini sana, Yan mtu anaetoka ulaya akija hawez kujua kabisa kwamba Kuna michuano ya mpira wa miguu inafanyika nchini,

Naona kabisa bilionea Motsepe ataifuta hii michuano....imedoda kabisa na Motsepe hapendi vitu visivyo na shamrashamra ..hii michuano ingefutwa tu kwa ushari wangu, futilia mbali pia CECAFA, Ibaki tu AFCON.

Nchi hii tajiri hivyo tumeshindwa kupiga marketing Moja ya hatari, kama tuna uwezo wakua na matumizi yasiyo na tija kwa mujibu wa CAG zaidi ya Bilioni 600, tunashindwa nini michuano midogo hii kupiga marketing Moja matata kabisa ..dah. aibu.
Angalia impact kwenye economy sio hizt taka mwili zako,usilete ujinga kwenye Budget ya nchi,angalia royal tour ilivyotulipa,wewe unaleta mambo ya Pampas hapa,potea huko
 
Punguza makasiriko we msenge nini unaleta siasa hapa ...CHAN hakuna kitu. Haiwez kuleta lolote ..siongelei mambo ya royal tour hapa we mpumbavu ...naongelea CHAN....angalia uwanjani Kuna mashabiki wangapi ..utafananisha na fullhouse za mechi za yanga ama Simba wakicheza na timu za afrika nyingine katika michuano ya klabu bingwa...? Eti impact kwenye economy...imeleta impact Gani hii CHAN kwenye economy kama tu marketing mmeshinndwa ..na wewe kafie mbele huko ...
 
Michuano Gani ambayo Haina shamrashamra, michuano inafanyika kwenye nchi ambayo watu hawana muda, marketing iliyofanyika ni ya kiwango Cha chini sana, Yan mtu anaetoka ulaya akija hawez kujua kabisa kwamba Kuna michuano ya mpira wa miguu inafanyika nchini,

Naona kabisa bilionea Motsepe ataifuta hii michuano....imedoda kabisa na Motsepe hapendi vitu visivyo na shamrashamra ..hii michuano ingefutwa tu kwa ushari wangu, futilia mbali pia CECAFA, Ibaki tu AFCON.

Nchi hii tajiri hivyo tumeshindwa kupiga marketing Moja ya hatari, kama tuna uwezo wakua na matumizi yasiyo na tija kwa mujibu wa CAG zaidi ya Bilioni 600, tunashindwa nini michuano midogo hii kupiga marketing Moja matata kabisa ..dah. aibu.
Una roho mbaya Hadi Kwa nchi yako?. Kuwa mzalendo
 
Punguza makasiriko we msenge nini unaleta siasa hapa ...CHAN hakuna kitu. Haiwez kuleta lolote ..siongelei mambo ya royal tour hapa we mpumbavu ...naongelea CHAN....angalia uwanjani Kuna mashabiki wangapi ..utafananisha na fullhouse za mechi za yanga ama Simba wakicheza na timu za afrika nyingine katika michuano ya klabu bingwa...? Eti impact kwenye economy...imeleta impact Gani hii CHAN kwenye economy kama tu marketing mmeshinndwa ..na wewe kafie mbele huko ...
Kila safari ya mapinduzi ya uchumia sio.rqhisi kama pumzi yako,mapinduzi ya uchumi yanachukua muda kumbuka ZA alivyoondaa world cup mpaka leo hii reli za majibi zinaishi, lakini angalia watu wangapi wako kwa Hoteli full house,wengine wako mbugani wengine wako maduka.ya.kubadirishia.fedha, every corner ni opportunity,usiishi kwa mazoea achana na full.house ya uwanjani kuna vitu mjini lazima Ni positive,acha mbanga za ajabu.
 
Michuano Gani ambayo Haina shamrashamra, michuano inafanyika kwenye nchi ambayo watu hawana muda, marketing iliyofanyika ni ya kiwango Cha chini sana, Yan mtu anaetoka ulaya akija hawez kujua kabisa kwamba Kuna michuano ya mpira wa miguu inafanyika nchini,

Naona kabisa bilionea Motsepe ataifuta hii michuano....imedoda kabisa na Motsepe hapendi vitu visivyo na shamrashamra ..hii michuano ingefutwa tu kwa ushari wangu, futilia mbali pia CECAFA, Ibaki tu AFCON.

Nchi hii tajiri hivyo tumeshindwa kupiga marketing Moja ya hatari, kama tuna uwezo wakua na matumizi yasiyo na tija kwa mujibu wa CAG zaidi ya Bilioni 600, tunashindwa nini michuano midogo hii kupiga marketing Moja matata kabisa ..dah. aibu.
Bora sisi tumejitahidi, uliangalis AFCON ya Ivory Coast? Africa wenye uwezo wa kuingia uwanjani ni waarabu.
 
Punguza makasiriko we msenge nini unaleta siasa hapa ...CHAN hakuna kitu. Haiwez kuleta lolote ..siongelei mambo ya royal tour hapa we mpumbavu ...naongelea CHAN....angalia uwanjani Kuna mashabiki wangapi ..utafananisha na fullhouse za mechi za yanga ama Simba wakicheza na timu za afrika nyingine katika michuano ya klabu bingwa...? Eti impact kwenye economy...imeleta impact Gani hii CHAN kwenye economy kama tu marketing mmeshinndwa ..na wewe kafie mbele huko ...
Msenge ni neno tuu,haliwezi punguza lolote bora utumie gentlemen words,kama nina familia na Wana uhakika wa kulankila siku na sina wakmlilia hilo neno ni useless,keep it up.
 
Back
Top Bottom