Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uadui


Tumekuelewa vizuri mke wa zito.u first lady huupati kwa njia hii,bwanaako zzk alishakuwa msaliti na usaliti wake umeandikwa duniani na jehabam,so sahau kuwa first lady kupitia kwa zzk pia kuwa mwangalifu asijekusaliti na wewe maana dhambi ya usaliti inaendelea
 
Ben saanane anafanana sana na Zitto kabwe, kama atafanikiwa kuupata Ubunge mta Prove if I'm right or not. Wote wana akili sana na nyingi, Tatizo lao ujuaji mwingi, over confidence na kinyongo

Hauko mbali na Ukweli lakini muacheni kijana.

Tusimhofie sana mtu ila chama kingempa guidelines
 

ww huna lolote kwan act ndio nan hatutishwi na vinyago vya mpapule funga domo
 
Ben saanane anafanana sana na Zitto kabwe, kama atafanikiwa kuupata Ubunge mta Prove if I'm right or not. Wote wana akili sana na nyingi, Tatizo lao ujuaji mwingi, over confidence na kinyongo
Wacha uongo wewe,
Ben Saanane mweupe wakati Zitto mweusi, ufanano haupo hapo.
 
Last edited by a moderator:
Ningefurahi kama haya yote ungemshauri EL aachane na mbio za urais kwani hataupata, achana na mambo ya jirani, yatakuumiza.
"Ngoswe, Penzi Kitovu cha Uzembe" usichanganye siasa na mapenzi
 
Wacha uongo wewe,
Ben Saanane mweupe wakati Zitto mweusi, ufanano haupo hapo.

Ungejua tofauti ya kufanana na sawasawa usingeandika ulivoandika, Maana ya kufanana maana yake pia ipo tofauti na mojawapo ni hiyo uliyotaja. NIMESEMA WANAFANANA SIJASEMA WAKO SAWA.
 
Last edited by a moderator:
Ben kichwa sana hata Mnyika hamfikii tatizo kipaji chake kimefichwa na viongozi wa CDM, laana ya Zito Inamtafuna.
 
Huyu anataka mashine kutoka kwa Ben hana lolote..... Ebu kaa utulie kwenye ndoa, huu ndio muda wa kutafuta mtoto manake wakwe hawachelewi kukuambia unajaza choo tu..
 
Huyu anataka mashine kutoka kwa Ben hana lolote..... Ebu kaa utulie kwenye ndoa, huu ndio muda wa kutafuta mtoto manake wakwe hawachelewi kukuambia unajaza choo tu..

Teh teh teh Mkuu mbona unampa mabango UVCCM mwenzako??
 
wewe ni aduo namba moja wa Ben,Kama ulidiriki kumsingizia kwamba alikuwa na sumu ya kumuua zitto,do you think he can trust you any more.
wewe by that time ulikuwa ukizurura na mwigilu na Ku spend nae good times,mwishobwa siku mkawa mnawasingizia vijana wa chadema kwamba wamemwagia kijana wa watu tindi Kali,do you think you worth trust in the society ?
wewe Juliana kwa kushirikiana na heartless goons wenzako mliwasingizia yuke kijana wa Bk na wenzake kuminywa goroli zako na police in the name of politics ,do you think Ben can trust you anymore ?
I concur with Ben,people like you are easy going and wepesi kusahau,auna vision sasa wa nini kushitikiana na MTU Kama wewe?
Juliana kwa yote ulio wafanyia vijana wa chadema kupitia kwa mwigilu and state machineries ,wewe ni wa kuogopwa Kama ukimwi,hufai na namshauri Ben aku block kabisa,unaketa urafiki fake ili upadate jinsi kumsaliti tena.
vipi mbona uambatani na mwigilu tena,au ndio ule usemi usemao use and dump.
 
uzi huu ungeletwa hapa na mtu makini nami ningetia neno mana hata mimi nakerwa na tabia ya ben sana ila kwakuwa umeletwa na juliana atajibiwa na watu wa aina yake mi nahamia jirani
 
juliana dada yangu ndoa yako ina matatizo? mbona kama una stress unatafuta jinsi ya kuziondoa? ungesema toka umeama chadema ben hakuongeleshi au ukimpigia simu hapokei ningekuelewa lakini sio uharo uliuandika hapa
 
Hawa wote watasahaulika baada ya uchaguzi mkuu, nyota yao ni sasa tu.
 
SHONZA Ben atakufikiria ila mtafute pahala kama hoteli nzuri muyamalize
 
Ungejua tofauti ya kufanana na sawasawa usingeandika ulivoandika, Maana ya kufanana maana yake pia ipo tofauti na mojawapo ni hiyo uliyotaja. NIMESEMA WANAFANANA SIJASEMA WAKO SAWA.

Wacha kutetea uongo wewe, hawafanani hata kidogo. Na hata hawako sawa.
 
CCM WASHA KUHARIBU MPK UBONGO HUEZ ATA KU LINK MAWAZO YAKO YA SAANANE YANAKUHUSU NN NA UBUNGE WAKE HATAKI KUONGEA NA WEWE USILAZIMISHE WE GAMBA YE GWANDA HAM IVI dhambi ya uasi na uongo itakutafuna mpaka kaburini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…