Namshangaa huyu MBWA

Namshangaa huyu MBWA

IMG_0330.JPG
 
Kwa mtu yeyoye alifuga mbwa itakuwa anawajua vizuri sana hasa mbwa akiwa mkali,

Ukifuga mbwa au ukizoeana nae unaweza ukamchezea vyovyote ili mradi tu usimuidhi, mbwa unaweza hata kumpiga na asikasirike ilimradi kama kweri amefanya kosa

Kwa waliofuga mbwa wanajua, ukiwa na mbwa mkali nyumbani kwako panaheshimika sana na kweli panaheshimika tunaona ila mbwa akiwabwekea majirani ambao cyo wezi na kuwaacha wezi huyu mbwa lazima tumshangae


Huyu mbwa tunamuonyesha mwizi ila mbwa anajifanya asikii, ila tukionyesha wapiga kelele tu mbwa anawanyamazisha

Huyu mbwa tumempa ushahidi wa video, copy na kila kitu ila ameinamisha kichwa chini habweki, amekaa kimya lakini akisikia mtu mwingine amefanya tukio kama lile au dogo tu basi huyo mtu anakazi ya ziada

Kwa nn huyu mbwa anashindwa kumwazibu mwalifu tunayemuonyesha, tunamwamini ndio mana tukamfanya awe mbwa bora alinde kijiji chetu, anakula chakula chetu na tunamlipa pesa zetu kwa nn hataki kumwadhibu mwalifu anayekiharibu kijiji chetu

Wanamahusiano gani kati ya huyu mbwa mlinzi wetu na mwalifu ambaye alimchagua amsaidie kwenye ulinzi, tumemwambia kila kitu, ushahidi tumempa kwa nn mbwa ameinamisha kichwa chini, habweki kwa msaidizi wake mwarifu, hata usoni amwangalii kwa ishara ya kumuonya

Nachokijua kuhusu mbwa hata kama unammiliki siku ukimuuzi hana iyana atakung'ata tu, ila huyu mbwa kwa hivi anavyojifanya mkali na majirani wakaamini kuwa mkali ila anashindwa kumpa onyo mfanya msaidizi wake basi kuna jambo kubwa kati ya mbwa ambaye tumemchagua kama mlinzi wetu na yule aliyemchagua kama msaidizi wake
Mimi naona una hasira za kukosa unga ,viroba na kusumbuliwa na ulofa suluhisho ni Fanya Kazi!!!
 
Wooh! Wooh! Jamani mbwa wenu huyu wooh wooh ..! Mbwa mwenyenyewe koko.

Wooh! Wooh! Jamani mbwa wenu huyu ..! Mbwa mwenyenyewe koko.
 
duh, kweli dharau zinazidi! mmefikia kumfananisha raisi na mbwa😡!

HIli halifai kuungwa mkono hata kidogo, for whatever reason huu mfano sio stahiki kbs
 
duh, kweli dharau zinazidi! mmefikia kumfananisha raisi na mbwa😡!

HIli halifai kuungwa mkono hata kidogo, for whatever reason huu mfano sio stahiki kbs
Mimi toka mwanzo sikuwa nimeelewa hivi huyu wanaemwita mbwa ndie umemtaja wewe?
Duh basi watu wanahasira
 
Hahahaha hatumwachii ng'o! Lulu hii atuichezei chooni kamwe! Good evening!
Hiyo lulu ushawahi hata kuiona?! Ni lulu kwako.., ila ni muda utakaongea.
Wastaarabu wataelewa ila mnaohemkwa bila kufikiri hamjatambua kuwa mliingia chaka kuichagua hiyo lulu ambayo kwa wengine ni kama jiwe tu!!

Ila si kwa haya matendo na maamuzi ya kindumilakuwili!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom