Nampongeza Babu Tale kwa kutomung'unya maneno kwa Clouds

Nampongeza Babu Tale kwa kutomung'unya maneno kwa Clouds

Wasafi hawana content za maana wanasikiliza wasafi nao huwa hawajielewi.Clouds inaweza kuwa imeyumba kidogo kwa sababu ya Ruge ndio tayari hayupo,ila footprints walizonazo clouds wasafi hawazifikii hata kwa ndoto tu wasafi makelele mengi hawana cha maana unaweza ku gain
hoja ni tale kusema ukweli wa kila jambo lililotokea siku za nyuma ishu hapa sio uzuri wa clouds na wasafi,unachanganya hoja mkuu
 
Maisha yanaenda kasi kweli, jamaa walikuwa wanajiona ni kama akina Pdiddy, Rick Ross, kina Wayne wa Entertainment industry! Unyamwezi mwingi sana ila kumbe jeuri ilikuwa kwa sababu ya yule mastermind😂 aliedanja. Hawajakaa vizuri Kibonde akasepa nae kimsingi clouds imeisha.

They are just making kicks of the dying horse. Wasafi haijawafikia ila their growing pace is promising.
diva umemsahau mkuu kwani nae si amehama tayari au karudi
 
Kusaga is behind wasafi media na mtu wa karibu sana na nasibu
Hii bifu imetengenezwa tu
 
Back
Top Bottom