Nampenda xana

Nampenda xana

preta mwenyewe mbona kibibi,unataka kulelewa nini?
 
Unamfahamu au unadanganyika na avatar yake? Anyway Kila la kheri mkuu naimani mambo yatajipa tu maana umeingia na gia namba 4 kabisa.
 
kweli wanaume wana wivu hata kama hamjui au ni kibibi watafahamiana in the course of muhika katulia tuli wengine wawas..a
 
preta preta preta preta preta preta.,
PRETA si ndiyo aliyenasa JUZI anayebisha apinge, hahahahahahahaha............................
 
Preta dada bahati hiyo wengine tunaililia tunaikosa....kazi ni kwako
 
Akiendelea kukusumbua just let me know. I know you know how am capable of ..... Someone will get killed.

Naeza shea na mtu kitu chochote lakini si wewe mke wangu. I love you.

Mh!!....kumbe kuna ndoa za watu humu....eh! haya bwana
 
dah......aiseee.....

pretaaaaaa...fanya hima muibukie dogo pande za private malizana nae huko huko mkija hapa jamvini full kicheko na story za kawaida....ila unazali kaa la mental...kupata mpenzi wa nyongeza hapa jf.
 
pretaaaaa mbona hutokei jamani mwambie chochote bhanaaaaa
 
Preta, mwenzio roho yake imekudondokea!!!
 
Last edited by a moderator:
[FONT=comic sans ms [USER=20103]Preta[/USER] halafu anaonekana ni kijana huyo maana si unaona "xana" kwa sana!!!
i.e mjombo's :mwaaah: Preta
[/FONT]
 
Last edited by a moderator:
dah......aiseee.....
Finally her words are displayed jamvini after bcoming tired in liking nw she z one more step ahead, significantly I knw wat dis mins to me coz by jst seeing her writings I'm much delighted now coz communication alwayz bcome complete wen there z fidback. Lve u Preta:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::welcome::welcome:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom