Nampenda xana

Nampenda xana

Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! wapi PRETA fanya hima unatafutwa hukuuuuuuuuuuuu!
Lakini mm namuunga mguu kaka wa watu jamani, kuliko alivyokuwa anaumia moyoni ni bora kafunguka , sasa kazi ni kwa Preta mwenyewe amueleweshe kama yeye ni she/he mambo yaishe.
 
waooooooooo, mwana wetu kapata bwanaaaaaaaa, pretaaaaaa funguka mumy
 
Du......................!!
Karibu sana kijana napenda nikukaribishe kwenye familia nzuri kamwe hutajutia kukaribishwa!
Mm kama kaka yake nilieteuliwa na familia kumwakilisha hapa jamvini yafuatayo nimetumwa kwako:
1...............A. uandike vizuri cv yako ya wangapi ulikuwa nao kabla na sasa hv una wangapi
.................B. kwann ulikuwa nao na kwann haupo nao
2...............je silaha pesa, bunduki mzigo ina ukweli kiasi gani kwako?

Maswali mengine na maelekezo mengine zaidi utapata kwa kadri familia itakavyonihabarisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom