Nampenda xana

ni ktk kupooza tu speed ya mapigo ya moyo juu ya huyu mrembo

Aliyekudanganya Preta ni mwanamke ni nani? Avatar siyo?

Kuwa makini dogo utajaliwa ndogo humu bila kutegemea. Chezeya JF weye?
 
Last edited by a moderator:
Wana jamvi, tangu niingie humu jamvini nimejikuta as days went on huyu dada anahit sana in my mind mpaka nasujudu kuweka bayana jamvini ili yeye mwenyewe ajue kuwa kwa jinsi tu alivyo amekua someone so impressive to me and she z making me so flirt, she z notin else bt PRETTA, am not sure kwamba naweza nikawa napenda palipopendwa bt since wanajamvi mwaweza kua full knowledged na huyu kisura nadhani nitajua which path shuld I follow, ni vziri sana yy mwenyewe pia akisema neno juu ya hili.

Ahahahahaaaaaaa, eti unamjua 50%! Binadam huwezi mjua kwa parcent kubwa hivyo sembuse mwenye Identity fake (identity za JF) ya kumficha?
Je unauhakika ya Kuwa si mmama aka mbibi? Unauhakika ya kwamba si dume? ( make wengine humu huwa hawataki wajulikane hata jinsia zao mf. Kongosho). Je unafahamu ya Kuwa kaolewa au hajaolewa? Na kama kaolewa hujui ya kwamba mmewe anaijua JF identity yake?
Je unauhakika ya kwamba Preta sindugu yako wa karibu I.e mother, dada, shangazi etc etc?
Angalia mkuu usije ukapotelea msitu wa mabwepanda! Nahisi Kitu chenye NCHA kali kikirushwa toka pande zisizojulikana na harufu ya damu kutapakaa hapa! Ahahahahaaaaa, komaa ndugu yangu mjombo's!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
...hubby mwambie huyo.............

Akiendelea kukusumbua just let me know. I know you know how am capable of ..... Someone will get killed.

Naeza shea na mtu kitu chochote lakini si wewe mke wangu. I love you.
 
tena kumbe ni mke wa mtu,:madgrin:

wake za watu ninawapendaje :becky:

na mke wa mtu akinikubali lazima amdedishe mume wake kwa kulewa na penzi langu!:A S 11:

i have warned you too! :nimekataa

Tena uishie hapo hapo kabla sijakubadilisha jinsia ikiwa na mimba. BADILI TABIA ni mke wa ujana wangu. Ni mali yangu peke yangu tena peke yangu tu.

You have been warned!
 
she z notin else bt PRETTA, am not sure kwamba naweza nikawa napenda palipopendwa bt since wanajamvi mwaweza kua full knowledged na huyu kisura nadhani nitajua which path shuld I follow.[/QU Bro hatujuani, ingawa umetaka aje ajibu preta mwenyewe, but kwa kuwa mimi ndo mwenyewe naomba komea hapo hapo, ikiwezekana ondoa uzi huu!
 
Mkuu!!...Komaa Hivyohivyo Huenda Ukaangukiwa Na Zali...Ila Rekebisha Hiyo Heading, Ili Mtoto Akija Aanze Kung'ata Kucha Kweli Anaongea Na Great Thinker!
 
Wana jamvi, tangu niingie humu jamvini nimejikuta as days went on huyu dada anahit sana in my mind mpaka nasujudu kuweka bayana jamvini ili yeye mwenyewe ajue kuwa kwa jinsi tu alivyo amekua someone so impressive to me and she z making me so flirt, she z notin else bt PRETTA, am not sure kwamba naweza nikawa napenda palipopendwa bt since wanajamvi mwaweza kua full knowledged na huyu kisura nadhani nitajua which path shuld I follow, ni vziri sana yy mwenyewe pia akisema neno juu ya hili.

Ngoja nikimbie mitaa hii, naona kijana anataka mnato wa Tandika.
 
Mkuu!!...Jipinde Utupie Japo Kashairi Ka Mashambulizi Hapo Chini!!...
Weng Imewatoa!!
 
Anajiandaa anakuja,amesema anasubiri wapambe wakishajaza thread yeye atakuja kutoa jibu zuri! Mash khouf!
 
Ahahahahaaaaaaa, eti unamjua 50%! Binadam huwezi mjua kwa parcent kubwa hivyo sembuse mwenye Identity fake (identity za JF) ya kumficha?
Je unauhakika ya Kuwa si mmama aka mbibi? Unauhakika ya kwamba si dume? ( make wengine humu huwa hawataki wajulikane hata jinsia zao mf. Kongosho). Je unafahamu ya Kuwa kaolewa au hajaolewa? Na kama kaolewa hujui ya kwamba mmewe anaijua JF identity yake?
Je unauhakika ya kwamba Preta sindugu yako wa karibu I.e mother, dada, shangazi etc etc?
Angalia mkuu usije ukapotelea msitu wa mabwepanda! Nahisi Kitu chenye NCHA kali kikirushwa toka pande zisizojulikana na harufu ya damu kutapakaa hapa! Ahahahahaaaaa, komaa ndugu yangu mjombo's!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
dats y nilisema kua am not awea km nimependa palipo pendwa au palipokwisha olewa. nikilijua hili itanibidi nizingatie itifack
 
she z notin else bt PRETTA, am not sure kwamba naweza nikawa napenda palipopendwa bt since wanajamvi mwaweza kua full knowledged na huyu kisura nadhani nitajua which path shuld I follow.[/QU Bro hatujuani, ingawa umetaka aje ajibu preta mwenyewe, but kwa kuwa mimi ndo mwenyewe naomba komea hapo hapo, ikiwezekana ondoa uzi huu!
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa inawezekana kweli ukawa we ndio preta, hw come moto2012
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom