Nampenda xana

Preta kapita hapa sasa hivi fyuuuuuu... Kaona pameshanuka aisee.
 
Last edited by a moderator:
Akiendelea kukusumbua just let me know. I know you know how am capable of ..... Someone will get killed.

Naeza shea na mtu kitu chochote lakini si wewe mke wangu. I love you.

....hubby huyu jamaa bado ananisumbua, hebu mhamishe kikojoleo chake kihamie utosini,akili imkae sawa.....
 
hahahahahah
nikikumbuka yule aliyesema avatar kama komba mwiko, huwa nacheka sana nikiona avatar yako..!
hahahahaha


Mkuu!!...Jipinde Utupie Japo Kashairi Ka Mashambulizi Hapo Chini!!...
Weng Imewatoa!!
 
PRETAAAAAAAAAAAAAAAAAaaa mbona siku nyingine huwa mwepesi wa kujibu mashambulizi leo upo wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Unatafutwa wajameni. Haya ngoja tukusubiri labda umekwenda msibani kwa kifo cha mama yetu na SMILE.
 
mtu mwenyewe kismati cha kupendwa 0
mvuto 0

halafu unaleta leta maringo, kwendraaaaaaa!

...kwikwikwiiiii sizitaki mbichi hizi....bora umeshtuka mapema nilishanwambia hubby wangu Asprin ahamishie hazina yako utosini.....ungekomajeeeeeeee......
 
Last edited by a moderator:
Wana jamvi, tangu niingie humu jamvini nimejikuta as days went on huyu dada anahit sana in my mind mpaka nasujudu kuweka bayana jamvini ili yeye mwenyewe ajue kuwa kwa jinsi tu alivyo amekua someone so impressive to me and she z making me so flirt, she z notin else bt PRETTA, am not sure kwamba naweza nikawa napenda palipopendwa bt since wanajamvi mwaweza kua full knowledged na huyu kisura nadhani nitajua which path shuld I follow, ni vziri sana yy mwenyewe pia akisema neno juu ya hili.
wapi preta,
mwenzako ndio limoyo lishakudondokea, dondoka na wewe tule ubwabwa, jamani ila we kaka umepita shotcut kwelikweli hutaki hata kuzunguluka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom