Nampenda sana Nargis Mohamed

Halafu nimekumbuka, kama sijakosea mpambano ulikuwa ni kati ya Mbiki vs Angel Damas...
Huu ulikuwa mpambano wa aina take. Mmoja black beauty mwingine shombe shombe wa Kizungu. Pambano lilienda mpaka matuta baada ya dakika za nyongeza kushindwa kutoa mshindi

NB: Niliwahi sikia Mbiki Msumi aliolewa na Waziri Bashe, ila baadae wakaachana
 
Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia.View attachment 2963632View attachment 2963633

Si upendo wa kiuchafuchafu ngonoana hapana. Nampenda alivyo tuuu hata sijui alikosaga vipi kuwa miss namba moja miaka ile.
Dah, umenikumbusha mbali sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom