Sio mbaya, wote tumeumbwa kwa mfano wa MunguKweli wote nawaona wazuri tu sijui kwanini
Sijafanya kauchunguzi bado, mimi nawapenda sana wadada wa Rwanda ningekua mwanaume ningeoa kuleIla wadada wakihaya wa zuri sana
π π Acha nicheke tuSijafanya kauchunguzi bado, mimi nawapenda sana wadada wa Rwanda ningekua mwanaume ningeoa kule
Najua unacheka nini ebu tuishie hapo πππ π Acha nicheke tu
Yeah kweli wana uzuri πNajua unacheka nini ebu tuishie hapo ππ
Duhh mbona kama mimi huyuπ±
Duhh mbona kama mimi huyuπ±
Mjikaze baba! Muwe mnakunywa whiskey kidogo kuondoa clear vision kwa wakati huoπ₯²Tunawapenda na kuwaheshimu sana lakini kutazama kwa macho nje ya skin tight ni mtihani mama
Dada kapitiliza kujikubali hadi imegeuka kuwa misifa ya kijinga...Simjui anayejadiliwa lakini kama mtu nane umesema ana masifa,itakuwa ni ukweli 100%
Unatakiwa uwe kipotabo ili uwe unanyumbulika on bed.Unene ni jau sana mimi sitaki hata kuusikia.
Hivi Najma ni pisi?? Kabisaa? Hapanaaa.Wanaume watakupiga mawe unavoielezea pisi yenye kovu lake mkononi ila michambo na sifa ni zaidi ya waandishi wa bongo
πππNakupenda Sana mwanne binti Othman ππ.
πππ em sema kwelii??Kama wewe tuu. π
Ndio.πππ em sema kwelii??
Uongoo!!Ndio.
Uongoo!!
Jamaniiii!! Wee em apia?Unaringa sana wewe.