Nampenda sana my pretty cutty Levina

Nampenda sana my pretty cutty Levina

Kwani IST ya promotion haina seat za kukalia?! kwani ikiingia barabarani matairi yake yatapasuka? Do you care?

Bwana mmoja juzi mwenye asili ya kiasia juzi mkewe alishinda hii IST basi jamaa alivyokuwa exited nikasema daah kama ndugu yetu huyu mwenye kabila lakigeni amefurahi namna hii vije akishinda mswahili wa ndani ndani huko ambaye kijijini kwao hakupata kutokea mwenye gari?
 
We bhana eeh, hebu acha mambo yako hapa! Mswahili wa ndani ndani wa nini wakati Dar es salaam yenyewe wengi hatuna hata hiyo piki piki tena wengine wanaishi kitumbini?! We unasikiliza hizi mbwembwe za JF wakati majority hata kazi hawana??!!
 
Kwani IST ya promotion haina seat za kukalia?! kwani ikiingia barabarani matairi yake yatapasuka? Do you care?

siiitaki nataka uitafute kwa nguvu zako mwenyewe
haha usubirie bahat nasibu usiposhinda
 
We bhana eeh, hebu acha mambo yako hapa! Mswahili wa ndani ndani wa nini wakati Dar es salaam yenyewe wengi hatuna hata hiyo piki piki tena wengine wanaishi kitumbini?! We unasikiliza hizi mbwembwe za JF wakati majority hata kazi hawana??!!

Tatizo letu kubwa watu tunaojiita wa Dar es Salaam ni wachaguzi sana linapokuja suala la kazi...nijuavyo mimi kazi si lazima iwe ya kuajiriwa,hata kujiajiri ni kazi pia...utakuta kijana wa watu ni mtanashati tokea asubuhi till usiku mara saba kwa week,anakaa kwa shemeji aliyemwoa mdogo wake wa kike,perfume wanagongeana na shemejie na siku moja moja shemeji anamwachia mkoko akapigie misele. Ni saa ngapi huyu ndugu yetu ataona fursa ya kuanzisha genge mtaani kupunguzia wakazi adha ya kwenda mtaa wa tatu kununua mahitaji of which naye angeingiza kipato?
 
siiitaki nataka uitafute kwa nguvu zako mwenyewe
haha usubirie bahat nasibu usiposhinda
Umesoma hesabu za probability au kale kaugonjwa ka taifa kamekupitia na wewe? Kwenye probability, kuna ku-maximize the chance... unakuwa na line kama 15 hivi, kila muda unajiunga! Anyway, lakini kwa wewe, I can do anything including sacrificing my life in exchange to yours! What A LOVE!
 
Sa sisi tufanyaje apo. Umeulizaa au hilo ni shairi..? Ungeweka na picha basi ndo tungeweza kuyaprove maneno yako. Usije ukawa unamsifia mtu ambae kafanana na huyu hapa sm.jpg
 
Tatizo letu kubwa watu tunaojiita wa Dar es Salaam ni wachaguzi sana linapokuja suala la kazi...nijuavyo mimi kazi si lazima iwe ya kuajiriwa,hata kujiajiri ni kazi pia...utakuta kijana wa watu ni mtanashati tokea asubuhi till usiku mara saba kwa week,anakaa kwa shemeji aliyemwoa mdogo wake wa kike,perfume wanagongeana na shemejie na siku moja moja shemeji anamwachia mkoko akapigie misele. Ni saa ngapi huyu ndugu yetu ataona fursa ya kuanzisha genge mtaani kupunguzia wakazi adha ya kwenda mtaa wa tatu kununua mahitaji of which naye angeingiza kipato?
Kwanza suala la kukaa kwa dadangu hilo siwezi kulifanya kabisa! Kuhusu aibu ya kufanya biashara inategemeana na ubunifu wako... mathalani, ni ngumu mtu umezaliwa hapa hapa, umesoma hapa hapa na Mungu amekujaalia umefika hadi chuo kisha uwe na genge la nyanya sawa na lile la Mzee Kondo hapa mtaani... mwanadamu ameumbwa na aibu!

Sana sana, ikiwa nimeshindwa all means and no way out lazima niuze nyanya, basi nitaboresha genge husika...
 
Ndugu yangu kuna vijana wamehitimu horticulture SUA pale, hii ni elimu ya juu inayoshughulika na kilimo cha mboga mboga na matunda,mimea ya dawa, viungo/spices, maua na mimea ya baharini....sina hakika kama mtu huyu ataona haya kufungua kinachorelate na field yake mjini....
1024px-Milan_Vegetable_Market.jpg

Nieleweke wazi napozungumzia genge simaanishi kwamba ufunge tambara na kupanda nyanya chungu mafungu manne...elimu uliyoipata itumie ikusaidie kuboresha biashara yako!
 
Na niliposema kuhusu kuboresha genge basi nilimaanisha ni kama hiyo picha hapo juu! Ukiona mwanaume anaona aibu kufanya hata hivyo hapo juu basi fahamu mtu kama huyo sio mwenzetu! Kuhusu Horticulture... mie naifahamu hiyo coz' vizuri coz' am SUA Product! Ingawaje binafsi sikusoma hiyo kozi, lakini kiaina jamaa nilikuwa nawaonea gele sana coz' from the beginning niliiona opportunity iliyomo kwenye horticulture! And am sure ningekuwa nimeingia chuo wakati nipo matured enough, si ajabu ningebadili kozi wakati huo na kusoma ama horticulture or animal science lakini utoto nao ni janga especially kama hauna wa kukushauri!
 
Umesoma hesabu za probability au kale kaugonjwa ka taifa kamekupitia na wewe? Kwenye probability, kuna ku-maximize the chance... unakuwa na line kama 15 hivi, kila muda unajiunga! Anyway, lakini kwa wewe, I can do anything including sacrificing my life in exchange to yours! What A LOVE!

woooow..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom