She is still broken hearted, How can I make her love deeply again?

She is still broken hearted, How can I make her love deeply again?

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
Heshima kwenu wana MMU!

Nina mpenzi wangu ambaye nimeanza kudate nae mwaka Juzi so tuna kama 2yrs now!
Before dating her she was my friend so nimemjua kama 7yrs ago since tukiwa tunasoma O'level
Katika uhusiano wetu tumeishi tu vizuri na nampenda sana na yeye pia ananipenda Japo huko nyuma alikuwa hana ile too much caring na saa nyingine huwa nilikuwa nashindwa kumwelewa kama ananipenda sana au ananichukulia tu, japo akawa anabadilika japo taratibu sana! All those two years ameonesha mabadiliko japo sio makubwa sana!
Sasa jana akaniambia kuna kitu anataka kushare na mimi nikamwambia its ok!
Ndo akaanza kuniambia kipindi yuko O'level alitokea kumpenda sana kaka mmoja she said alimpenda sana yule kaka, japo yule kaka hakujua kama huyo mpenzi wangu anampenda na kutokana na maadili ya kiAfrica hakuweza kumwambia kuwa anampenda, hiyo hali alianza akiwa form one ikaenda hivo hadi form four akiwa anampenda tu ila yule kaka hajui na hakurealise hilo.
Sasa siku moja huyo kaka akawa amemwambia huyo mpenzi wangu kuwa He is inluv with her friend!(yaani mpenzi wangu alikuwa na rafiki yake ndo huyo jamaa akawa amempenda)!
From there she told me she was hurted so much, she hated something called LOVE, she hated every man who came to her saying He luv her!
Na kiukweli nilipataga sana shida kwenye kumtongoza alinikataaga kama mara tatu tofauti within 6 months mara ya nne ndo akakubali japo kwa shingo upande toka hapo effort kubwa imekuwa inatoka kwangu kwenye kumpenda ila yeye akawa anatake it too easy!
Jana akaniambia at least I have showed her kwamba she can luv again(na nimeanza kuona hili)
akaniomba nimsaidie hadi arudi kwenye hali ya kawaida!
Na kwa kweli jana nimepata majibu ya maswali meng sana ambayo nimekuwa najiuliza juu yake!
Why dont she care?
Kwa nini ni muoga sana kwenye mambo ya mapenzi?

Sasa wanaMMU naombeni ushauri wenu!
Mtu kama huyu namsaidiaje ili arudi kwenye hali ya kupenda tena bila kuogopa?
Najua kuna wengine humu walishapitiaga hali kama hii Je mlifanyaje hadi mkarudi kwenye hali yenu ya kawaida?
Naombeni ushauri I want to make her love deeply again!
 
Just keep on loving her like tomorrow never exists,maybe you doubted about her love for you,love her even more now though she doesnt love you the same way back in return,im sure with time she will be crazy in love with you....show her that what matters is now and the future not her past!
 
Last edited by a moderator:
Mpaka akafikia kufunguka ni kwamba umeshafanya kazi kubwa ya kumfanya aamini kwamba unampenda na umemwondolea baadhi ya hofu alizokuwa nazo hapo awali. Hivyo endelea kumjali na kumtia moyo ISIPOKUWA unatakiwa kuwa makini sana ili usije kumwumiza tena. Hivyo basi, ni vema kuwa muwazi hasa kuhusu marafiki wengine wa kike na hata kupunguza mawasiliano a mazoea yasiyo ya msingi sana mpaka hapo atakapo kuwa na uwezo wa kujiamini.
 
hii kali......
unaumia kiasi hiki kwa mtu ambaye hata hajakuambia kuwa anakupenda......
hana feelings na wewe kabisaaaa........
hamkuwahi kuwa marafiki, unajiwazia tuuuuu, halafu unasikia anatoka na mwingine basi wewe unachukia kila mtu.......
hapa ukweli nahitaji mwongozo inakuwaje? AshaDii, Mentor, snowhite, Dark City, watu8, Kaizer, Kaunga, gfsonwin, cacico, Asprin, MwanajamiiOne, Ennie, Heaven on Earth, Tized, Ablessed

ni hadithi nzuri, na inapendeza masikioni mwa msikilizaji.
 
Last edited by a moderator:
You must decide which road to take, knowing that your choice will influence the rest of your life
 
Hata mimi ningekuwa huyo msichana nikampata mtu kama wewe, ningeweza kuji-manipulate navyotaka as far as sijioneshi nakukubali kiivo, lazima tu itakukereketa uzidi kunipenda na kunionea huruma ambayo sipaswi kuonewa.

Kwa hiyo shida ni rafiki wa msichana kupendwa na huyo jamaa au? kwani huyo jamaa ndio mara ya kwanza kuingia kwa uhusiano? Kwani huyo binti alikua anajua jamaa kaamua kuwa Fadher nini?

....... na kama labda kaachwa huko ,then kwa kuwa anajua utamshtukia amenyongonyea na yupo heart broken ndio anakuandaa je? Unadhani kuna umuhimu wowote kuelezwa sasa? Miaka yote hio saba ya urafiki si ingekua hata ameshakutania kuna kajamaa amekua akikizimia? Unaonekana muumini mzuri anyway.

hii kali......
unaumia kiasi hiki kwa mtu ambaye hata hajakuambia kuwa anakupenda......
hana feelings na wewe kabisaaaa........
hamkuwahi kuwa marafiki, unajiwazia tuuuuu, halafu unasikia anatoka na mwingine basi wewe unachukia kila mtu.......
hapa ukweli nahitaji mwongozo inakuwaje? AshaDii, Mentor, snowhite, Dark City, watu8, Kaizer, Kaunga, gfsonwin, cacico, Asprin, MwanajamiiOne, Ennie, Heaven on Earth, Tized, Ablessed
 
No one is confined to just one person in terms of love.

She can and she will love again.

Just love her truly, madly and deeply.

Good Luck.
 
hii kali......
unaumia kiasi hiki kwa mtu ambaye hata hajakuambia kuwa anakupenda......
hana feelings na wewe kabisaaaa........
hamkuwahi kuwa marafiki, unajiwazia tuuuuu, halafu unasikia anatoka na mwingine basi wewe unachukia kila mtu.......
hapa ukweli nahitaji mwongozo inakuwaje? AshaDii, Mentor, snowhite, Dark City, watu8, Kaizer, Kaunga, gfsonwin, cacico, Asprin, MwanajamiiOne, Ennie, Heaven on Earth, Tized, Ablessed
Kaaazi kweli kweli. Ngoja ntarudi
 
I hv never thought tht childhood crush exist??? Until now,well goodluck in bringing her senses back....
 
hii kali......
unaumia kiasi hiki kwa mtu ambaye hata hajakuambia kuwa anakupenda......
hana feelings na wewe kabisaaaa........
hamkuwahi kuwa marafiki, unajiwazia tuuuuu, halafu unasikia anatoka na mwingine basi wewe unachukia kila mtu.......
hapa ukweli nahitaji mwongozo inakuwaje? AshaDii, Mentor, snowhite, Dark City, watu8, Kaizer, Kaunga, gfsonwin, cacico, Asprin, MwanajamiiOne, Ennie, Heaven on Earth, Tized, Ablessed

Huwa inawatokea sana watu...ni ile phenomenon kama ya fisi kumsindikiza mtu akisubiri mkono udondoke...

Na pia kazi ngumu sana kudeal na muhanga wa mambo ya MMU...ni kujipa mayo tu kwani lolote linaweza kutokea!!
 
Aiseeeh! Situation yako ngumu kaka.
Mimi sitaki kufikiria kama ni manipulation sababu kuna watu ni mafundi kwenye hilo.
Ushauri wangu sali sana isije ikawa manipulation
 
Back
Top Bottom