Nampenda sana lakini yeye ananipenda kidogo mno

Wana JF naomba ushauri au msaada

Kuna msichana nmekuwa na hangout nae kwa mdaa sasa,we have made love tulikuwa kama friends with benefits kwa mdaa sasa ivi punde nika decide kumu approach kumwambia the way i feel kwamba nampenda na kweli i do love her.

things have changed hani treat better kama zamanii najitahid sana kumuonyesha nampenda kwa njiaa nyngn but naona yeye hana interest na mm kabisa imefika point sjui nifanye nn natamani nimuache lakin nashindwa nampendaa sana am always thinking about her
Nani alikwambia um-approach na kujiongelesha ongelesha how you feel? Hapo ndio ulizingua. Kwani ulikuwa unakosa nini?
 
Kuna mjamaa namjua .
Huyo ndiye humwota kila siku, humbusu kila wakati na asipomwona hana raha siku hiyo.
 
Kuna watu wanapenda kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu we mtu umepewa for free unataka kuanza kujimiliksha sasa
Inaelekea mwamba bj,sarakasi na mengineyo yamemchanganya 😅😅halafu bidada ni kama hajausoma mchezo
 
Inaelekea mwamba bj,sarakasi na mengineyo yamemchanganya halafu bidada ni kama hajausoma mchezo
ha ha shid dada kapewa show ya kawaida af jamaa kapewa kifurush cha week kavurugwa... siku nyengne umpe kidogo kidogo sawa mdogo angu
 
Mtoto unapenda hela wewe utafikili umezaliwa saccos
usinichekeshe dea, kna kipindi kna Mr m1 akawa anajileta kwangu, ile shaghalabaghala kafunguka wazi tena Ali press wazi eti " watu wa aina yako huwa hawapendi hela kwahiyo naamini nitakua chaguo lako" nilicheka nusu nife wallah, nkamuuliza "unanijua au unanisikia"? Nkamuambia huna hela nenda kanunue soap ya 200 ni suluhisho la matatizo yako.
pesa mchezo dea. Lol
 
ha ha shid dada kapewa show ya kawaida af jamaa kapewa kifurush cha week kavurugwa... siku nyengne umpe kidogo kidogo sawa mdogo angu
Kaka ningekuja anzishiwa uzi huku ningejiona mwamba sana mdogo wako😅😅😅

Hata mimi ni nahisi hivyo aise dah namuonea masta huruma😆😆😆

Dada nae anendendelea kukaza🤔🤔
 
Kaka ningekuja anzishiwa uzi huku ningejiona mwamba sana mdogo wako

Hata mimi ni nahisi hivyo aise dah namuonea masta huruma

Dada nae anendendelea kukaza
Embu fanya miujiza nikuanzishie bas mdogo wangu
 
Wana JF naomba ushauri au msaada

Kuna msichana nmekuwa na hangout nae kwa mdaa sasa,we have made love tulikuwa kama friends with benefits kwa mdaa sasa ivi punde nika decide kumu approach kumwambia the way i feel kwamba nampenda na kweli i do love her.

things have changed hani treat better kama zamanii najitahid sana kumuonyesha nampenda kwa njiaa nyngn but naona yeye hana interest na mm kabisa imefika point sjui nifanye nn natamani nimuache lakin nashindwa nampendaa sana am always thinking about her
mwanamke anatakiwa kukutii tu na siyo kukupenda
 
Dah uzi nyingine hizi, it was rough sema nishamove on, leo nimeona huu uzi aisee hizi experience achana nazo tu
 
Wana JF naomba ushauri au msaada

Kuna msichana nmekuwa na hangout nae kwa mdaa sasa,we have made love tulikuwa kama friends with benefits kwa mdaa sasa ivi punde nika decide kumu approach kumwambia the way i feel kwamba nampenda na kweli i do love her.

things have changed hani treat better kama zamanii najitahid sana kumuonyesha nampenda kwa njiaa nyngn but naona yeye hana interest na mm kabisa imefika point sjui nifanye nn natamani nimuache lakin nashindwa nampendaa sana am always thinking about her
Sio friends wote wanaweza kuwa lovers.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom