Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

Wewe huna tofauti na wale wanawauwaa wanawake sababu tu kashindwa kumcontrol na pisii inamburuzaaa... uachee ufalaaa
 
Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu wana kiri)

Nikimfumania mara nyingi anakuwa mkali nami namwomba msamaha kwa kumuudhi. Hapo naweza mbembeleza hata week nikilia ndo ananisamehe kwa shingo upande sana.

Kiukweli nampenda na sipendi kumpoteza. Huwa namwambia basi anapo ni cheat awe makini nisiwe najua mwenzie anaumiza roho yangu anajibu sawa atajitahidi. Haupiti mwezi anarudia tena.

Nikimuuliza anakuwa mkali kuwa kwa nini namfuatilia na kumfanya akose uhuru.anasema mimi mlalamishi sana.

Sasa toka lasti wiki napiga simu hapokei.nimeenda anapoishi hayupo. Nimehangaika sana. Jana katuma msg kuwa hanitaki tena... Nmeumia sana kwa kweli nawaza nitaishi vipi nami nlishamzoea...natamani kunywa sumu. Hata sijui ipi ndo nzuri. Sijalala usiku kucha namuwazia Kidawa.
Pumbafu sana kijana huko siyo kupenda huko kunaitwa upumbafu( mbumbumbu)

Kupenda hakuko hivyo mwanamme kupenda lzm amhendo aliyempenda kama huwezi kumhendo uliyempenda jua hujapenda toka mara moja

Utakufa KIFO kibaya sana
 
Hapo hakuna maumivu bwana mdogo ni unadeka tu.

Ushawahi kutana na maumivu ya kuchaniwa mkeka na timu moja?

Achana na mapenzi utakufa mbwaa ww njoo huku tupambane na kanji.

Huko kwa kanji atakufa mapema mno, bora abaki huko huko kwa alikozoea.
 
Really !!!! If that is the case, what are you hanging for !? Just leave before we loose you !!!
 
Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu wana kiri)

Nikimfumania mara nyingi anakuwa mkali nami namwomba msamaha kwa kumuudhi. Hapo naweza mbembeleza hata week nikilia ndo ananisamehe kwa shingo upande sana.

Kiukweli nampenda na sipendi kumpoteza. Huwa namwambia basi anapo ni cheat awe makini nisiwe najua mwenzie anaumiza roho yangu anajibu sawa atajitahidi. Haupiti mwezi anarudia tena.

Nikimuuliza anakuwa mkali kuwa kwa nini namfuatilia na kumfanya akose uhuru.anasema mimi mlalamishi sana.

Sasa toka lasti wiki napiga simu hapokei.nimeenda anapoishi hayupo. Nimehangaika sana. Jana katuma msg kuwa hanitaki tena... Nmeumia sana kwa kweli nawaza nitaishi vipi nami nlishamzoea...natamani kunywa sumu. Hata sijui ipi ndo nzuri. Sijalala usiku kucha namuwazia Kidawa.
Faken Kabsa
 
Mkuu fuata ushauri wangu coz nina nia ya kukusaidia.
Simaanishi una kichaa ila naamini ni shida ndogo tuuu ya kisaikolojia, inayotatulika
Nenda Muhimbili kwenye kitengo cha magonjwa yanayohusiana na akili wana dawa zao watakupa utakaa sawa na utaacha kuteseka na huyo mwanamke.

Kuna rafiki yangu alipatwa na changamoto kama yako aliitatua muhimbili.... Hadi leo akikumbuka anaishia kucheka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom