Nampenda sana, ila tabia inanishinda... Nisaidieni

Labda anaona aibu kukwambia au ananuna bila sababu, yaani ni tabia yake, jifunze kuishi na hiyo hali, n umeambie ukweli kuwa hufurahii hizo moods zake, kwa upendo

thawa ntajitahidi kumuongelesha kiupendo ila navyomjua atahisi namsimanga hlf anaweza akanuna hapo hapo.... Duh! Huu km ni mtihani bac ni wa NECTA.
 
pole sn kama umeshagundua uzaifu wake basi umeshafauru kuishi nae akinuna bila ya sababu uwe unamuacha bila ya kurumbana nae then kukiwa na sababu basi usisite kumweka sawa utaona mabadiliko makubwa.
 
Una bahati sana wewe sema hujajua,mwanamke anayekasirika na kununa akianza kutabasamu jua ugomvi umeisha,ogopa mwanamke ambaye kila ukimkosea anajitia hamnazo,mwanamke wa hivo ni hatari sana na ukilala usingizi anaweza aku bobitt.
 
kumbe hiyo nayo ni bahati,nlkua cjajua ivyo.
 
pole sn kama umeshagundua uzaifu wake basi umeshafauru kuishi nae akinuna bila ya sababu uwe unamuacha bila ya kurumbana nae then kukiwa na sababu basi usisite kumweka sawa utaona mabadiliko makubwa.

nashukuru kwa ushauri wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom