Nampenda sana, ila tabia inanishinda... Nisaidieni

Huyo nahisi anafanana na mdogo wangu huwa namsikia akiongea na boyfriend wake kwenye cm kwa hasira! namkanya hanielewi. Pombekali kanifurahisha sana manake kasema ukweli huyo anataka kukucontrol. Cha kufanya muonyeshe kama ww ni mwanaume na utabaki kuwa mwanaume, siku nyingine akinuna mchunie mwambie akijisikia kuongea akwambie. Hakikisha hakudhalilishi hata siku moja, manake mtu wa hivyo siku utampeleka hata kwa ndugu zako ataenda kukuabisha huko. Usimuendekeze hata kidogo unless huna future naye.
 
weka jokes, weka jokes, kuwa haujali mambo akinuna weka jokes, wajua ukonesha kujali , sijui umambelleza ye ndo atazidi kujidai mkali , assumu hujali vvile
 
hilo ndilo la mcngi kuanzia sasa ntakuwa kauzu zaidi ya dagaa asinletee upumbavu wake.
 
weka jokes, weka jokes, kuwa haujali mambo akinuna weka jokes, wajua ukonesha kujali , sijui umambelleza ye ndo atazidi kujidai mkali , assumu hujali vvile

kweli nikimbembeleza huwa anapataga kichwa sana hlf nd'o anazidisha kununa.
 
hii kitu nime i experience , hata mimi wife alikuwa wa kununa nuna ila kila akiona sijali natia utani , yeye pia ana respondi vizuri ingawa kwa siku za kwanza sio rahisi , waweza kuoleta utani na kuondoka zako , huku unaleta mbwembwe , but kuwa careful usiongee kitu kinaweza m-boa, leta utani jiko limenuna linataka kanga kavu , ngoja nkanunue , na kweli una mlete chochote kizuri , then mtakuja kuwa sawa tu
 
we mkali utani wako nimeupenda.
 
ngoja mm nipite tu maana mapenzi yenyewe kwangu mm yako kushoto.

:biggrin1: tuko wengi kwenye hilo...ila kuna wanawake wana hizo tabia, wengine anaweza aamke tu asubuhi basi kanuna mpaka jioni, ah sometimes bora kua solo tu uenjoy life, maisha haya ya kuviziana alafu bado lijitu linanuna ovyo au kugombana pasipo na sababu
 
Mi naona uvumilivu ni jambo zuri, hata mm wf alikuwa hivyo ila kwa kuwa alikuwa ananipenda mi nikamvulia na sasa kafikisha miaka km 33 kaacha iyo tabia, nikagundua ulikuwa utoto na wakati ule alikuwa km na 25 years hivi, sasa mambo kwa matari, so km unampenda na ni fighter kwa maisha we mavumilie tu akikua ataacha.Ila jitahidi kutomkasirisha mara kwa mara.
 
mi nkimuulizaga hapendi nini ananiambia anapenda kila kitu kutoka kwangu hp nd'o huwa nashangaa.
Labda anaona aibu kukwambia au ananuna bila sababu, yaani ni tabia yake, jifunze kuishi na hiyo hali, n umeambie ukweli kuwa hufurahii hizo moods zake, kwa upendo
 
Kama wewe kakwambia anakupenda na wewe umesema unampenda basi haina shida.Tabia zingine ni za kuzaliwa huwezi kuzibadilisha.
 
Mi naona uvumilivu ni jambo zuri, hata mm wf alikuwa hivyo ila kwa kuwa alikuwa ananipenda mi nikamvulia na sasa kafikisha miaka km 33 kaacha iyo tabia, nikagundua ulikuwa utoto na wakati ule alikuwa km na 25 years hivi, sasa mambo kwa matari, so km unampenda na ni fighter kwa maisha we mavumilie tu akikua ataacha.Ila jitahidi kutomkasirisha mara kwa mara.

haya bana ntajitahidi kutomkasirisha maana akikasirika mi mpk huwa namuogopa kumuongelesha.
 
Back
Top Bottom