Nampenda sana ila simuelewi

Nampenda sana ila simuelewi

Mkuu kuwa wa kiume!

inaelekea umekufa umeoza kwa Huyo manzi.

solution;

Punguza hivyo vitu unavyompa na punguza mawasiliano, act km mwanaume ( rude boy) and a little bit gentleman.

Kama anakupenda atajirudi na kuacha hizo tabia za kukupima.

Akiendelea na Hiyo tabia..sign out mapema
 
Wakati mwingine kuwa na mwanaume anayekupenda sana ni kero, inaelekea hata akikosea humgombezi unaogopa kumkera hivyo umemfanya akuchukulie kama zoba tu.... Kwa kweli mie bora mwanaume awe na kaukorofi kidogo ila mtu ambaye kila nnachomwambia yeye ni ndio tu wala simuwezi
 
Labda nina tatizo pia, anapokosea huwa namrekebisha Kwa upole tu, maana sina haiba ya ukali na hasira zangu zi mbali napenda kuzizuia Kwa usalama wake pia, lakini nimewaelewa wakuu, wanawake hawapendi kupendwa Sana wanapenda mikiki mikiki, ya hapa na pale.
 
umependa jiwe pole sn!!! kwani ww unataka kumuoa au just entertainment?? alafu ebu muulize anakupenda na anakupendea nini
 
Mkuu piga chini haraka hata mimi hayo yalinitokea nikafanya yafuatayo.

Nikawa punguza mawasiliano ya simu na kutuma text, nikaacha kumfatilia kama zamani wala ckutaka nimuoneshe wivu kama zamani hata simu yake nikawa nikikuta busy simind wala kuulza kama zamani, nikawa naishi kigum mpaka yeye akaanza kushangaa, thenly badae automatically nikajikuta nazoea kuishi bila ukarbu wake pia at the same time nikawa natafuta mbadala wake mtu sahihi, so nilipokuja kumpata basi nikajikuta nazama ndio nikatoa na tamko kali kabisa kama la Kamanda Mbowe na UKAWA kwa yule mwanamke wa zamani kuwa its over.
 
Kwa mambo nilomfanyia huyu mbidada, sina hamu, sitatafuta mwingine kwanza, tafanya mambo mengine kwanza, mahusiano tatafakari Kwa baadae kidogo maana huyu keshanipasua kichwa. ,ko tasubiri. Lakini Asante sana mkuu. Maana shaanza kulifanyia kazi la kuwa la kubadilisha mtazamo.
 
Unaambiwa kuna mstari mwembamba sana kati ya mapenzi na ubwege....so brother watch out
 
Naona mstari wa mapenzi ushauvuka...uko upande wa pili wa u....
 
Huyo mdad anakupenda sana tena usmwache jua ameathrika kisaikolojia na kuwa unfaithfull kw wanaume kutokana na yule wa kwanz alvyo msalit hvyo anaogopa kuingia mazma kwenye malove nenda nae step by step.
 
Heshima mkuu, Asante Sana
 
Wakati mwingine kuwa na mwanaume anayekupenda sana ni kero, inaelekea hata akikosea humgombezi unaogopa kumkera hivyo umemfanya akuchukulie kama zoba tu.... Kwa kweli mie bora mwanaume awe na kaukorofi kidogo ila mtu ambaye kila nnachomwambia yeye ni ndio tu wala simuwezi

mkuu umeongea point. hawa wasichana ukiwaendekeza wanakupanda kichwani
 
Wakati mwingine kuwa na mwanaume anayekupenda sana ni kero, inaelekea hata akikosea humgombezi unaogopa kumkera hivyo umemfanya akuchukulie kama zoba tu.... Kwa kweli mie bora mwanaume awe na kaukorofi kidogo ila mtu ambaye kila nnachomwambia yeye ni ndio tu wala simuwezi

Nimeipenda bure!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom