Nampenda sana ila simuelewi

Nampenda sana ila simuelewi

Hivi mtu akikupa stress bado anakua rafiki yako ama..?...kwani kujitoa kwenye stress unashindwa nini,..au ndio umario wenu ndio unawasumbua i.e kulala kwa mwanamke,gari la mwanamke,chakula kwake,matibabu yeye,....ndio maana anakustress lakn bado unang'ang'ania.......

poa nimekubari ndugu ngoja nami nikaze buti
 
Unataka ufanyiwe nini ujue kuwa wewe ni zoba na hutakiwi?Ebooo!
 
When you truly love someone you should learn to let them go!!If she is worth ur love she will realize that!

Daah, this has happened to me haisee, and i decided to let her......kiukweli Mwanamke akipendwa sana ni shida...
 
Pole sana ila hapo huna chako tena huyo anakufanya kama chuma ulete unamuhudumia kwa kila kitu ila yeye anawake wa pembeni ambaye ana mjali na kumthamini kama ambavyo ww unamjali na yeye anajamaa anamjali hivyo na huenda hata pesa zako anazitumia kumtunza huyo jamaa mwingine
 
Pole sana ila hapo huna chako tena huyo anakufanya kama chuma ulete unamuhudumia kwa kila kitu ila yeye anawake wa pembeni ambaye ana mjali na kumthamini kama ambavyo ww unamjali na yeye anajamaa anamjali hivyo na huenda hata pesa zako anazitumia kumtunza huyo jamaa mwingine

Sio Chuma chakavu?
 
Mkuu, kuna kupenda na kupendwa. Pia kuna kupendana. Waweza penda usipendwe, waweza pendwa usipende! Raha ya mapenzi si kupenda wala kupendwa ila ni KUPENDANA.
Nachelea kusema kuwa wewe umependa ila hujapendwa na hivyo HAMJAPENDANA!.Anaekupenda nawe ukampenda basi lazima kuwepo na mapenzi ya pande mbili. Penzi lililolalia ubawa mmoja ni sawa na kuti la mnazi mda wowote litamuangikia yoyote apitae chini yake! Nadhani kuti lilishaangukia mwingine bila wewe kujua.
Cheza karata zako vizuri usije ukaramba garasa!
 
Keshaniumiza sana hadi shakuwa sugu, akinitosa sitashangaa, tasonga mbele tu kiume, huwa natatua kila kitu kwa upendo wa dhati na upole ila mbidada kama hanisomi vile ndo maana simuelewi kabisa

Tunasaidiana mm ni mdada ila kuna kaka ananfanyia vtuko had basi
 
Nakushauri uwe kimya hata Mimi nilishapatwa na majanga kama hayo lakini nilipo amua kuwa kimya nahisi kufanikiwa maana hajajirekebisha na sasa naanza kumsahau taratibu hii ni ishara wazi kuwa mwenzako ana pa kuponea hakutegemei kimapenzi anakutegenea ki matumizi take care your self
 
Ushauri wa bure huu hapa: Jamaa tafuta MCHEPUKO. Itakuepusha na mengi kwa sasa na baadae.
 
Kama nasemwa mimi hapa mmmh...kiukweli mwanaume inatakiwa uact kiume mbele ya mwanamke we love that hatupendi mwanaume anaetimiza kila kitu huwa tunahisi kunakitu hakiko sawa kwake ndio maana kazi yake kuitikia na kutimiza kila kitu. Kuwa rude boy kidogo na gentle kidogo jitahidi ubalance the two...we love attention but not to the fullest, inaelekea umependa hata kumgombeza anapokesea huwezi binafsi sipendi mwanaume wa aina hiyo. Kuwa mwanaume yani mwanaume full package sio kila kitu ndio ndio tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom